Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Nafikri waziri atakuwa hajachukizwa na kucheza mziki, kilichomwuzi utakuwa ujumbe ulioko kwenye mziki! "Mpenzi wangu akinuna namkatia kiuno". Hivi hata wewe mkuu ukiwa umenuna my wife wako akakuingiza chemba akakutia kiuno utaendelea kununa?mkuu acha makasiriko, acha watoto waenjoy kwa muda