hahahahahaidadi ya wajumbe wa kamati ni 32
wajumbe waliohudhuria kikao ni 23
waliokataa kuunga amba kupinga uamuzi wa kumfukuza zitto ni 4
waliopiga kura 19
waliounga mkono zzk atoke ni 10
mathematically 10/32*100%= 31% ya wajumbe wote
kweli kamati kuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu kwa mujibu wa mwananchi kikao kilikua cha kukamiana na cha kimakundi.
Idadi sahihi ya wajumbe ni 32
waliohudhuria ni 23 tu.
inasemekana kuwa ni kura ndio iliyoamua, na kuna taarifa kwamba kati ya wajumbe 2-4 waliamua kuwa neutral (i mean kutokupiga kura)
so waliopiga kura walikuwa ni takriban watu 19
kati ya hao ni kiasi cha wajumbe 10 au 11 ndio waliounga mkono
ukichukua ha wajumbe 10 kati ya 32 wanakamati inamaana ni kama 31% ya wajumbe wote ndio waliofanya maamuzi haya ..............................
Mimi sio mwanasiasa ila comment yako imenishtua kidogo! Kwanini Mwampamba na Shonza wapokelewe kwa mbwembwe na ccm lakini zitto mwenye ushawishi mkubwa hawataki kumpokea wanataka apiganie haki yake?
Hili ni tamko lakini walishampiga Zitto chini muda mrefu.
Ni muda mrefu sasa Zitto hashirikishwi katika shughuli za chama. Hadhaminiwi kama naibu katibu mkuu.
.
Hawezi kujenga nyumba yake halafu uje mjelajela na kumdhulumu simply ngoja apiganie haki yake na ikishindikana aende anakopendwa.
hahahahahaidadi ya wajumbe wa kamati ni 32
wajumbe waliohudhuria kikao ni 23
waliokataa kuunga amba kupinga uamuzi wa kumfukuza zitto ni 4
waliopiga kura 19
waliounga mkono zzk atoke ni 10
mathematically 10/32*100%= 31% ya wajumbe wote
kweli kamati kuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
THE BIG SHOW =TbS ~ Arap Sang wa Bongo....Waraka njoo tumuumbue huyu arap Sang wa Bongo.popo huyu hajulikani chama gani
Bado mmoja umemsahau anatoka ule mkoa wa "Hakatwi mtu hapa"hahahaaaaaa wamekata.....
Kuna vitu vitatu haviwez kujificha milele,lazima vitajidhihirisha tuh,
1.JUA,
2.MWEZI,
3.UKWELI,
HATA MKITUMIA HILA NA UZANDIKI MWSHO WA SIKU UKWELI UTAFAHAMIKA TUH....
yaani kitila mkumbo tunavyo kuheshimu kumbe na wewe ni ovyo?
Achana na akili za ki-punda punda, zitto kajenga nyumba gani?
heh!......wewe ni kambi ya kitila eeh?!
za masiku mama?
na iwe vile ilivyokusudiwa kwa ajili ya maslahi ya chama na taifa kwa ujumla Leo ndo Leo kama noma n'a iwe.Pande zipi kamanda!n'a Kabila
Umenikumbusha Song la Chinga One KAKAMAN kutoka TMK.
waambie mbona walifukuzwa madiwani wa arusha hawakuongelea la ukabila, kwa vile walikuwa wachaga?
Watanzania kila siku tunajenga vyama vya siasa sijui tutakumbuka lini kuijenga nchi yetu. CCM chama cha mwaka 1977 bado kinajengwa, tena na katibu mkuu ambae alikuwa ni kanali wa jeshi, Mungu wangu, watz akili zetu sijui tulilaaniwa na Mungu? Tunauchukia sana Ukweli, hatupendi kuelezwa ukweli, maslahi ya Chama mbele kuliko Taifa.Jiulize chanzo cha migogoro ni nini? Mimi siyo mwanaCDM, lakini migogoro inayotengezwa na chama au wanachama wa chama kingine siiafiki kabisa. Ni bora kuangalia nini kinahitajika kwa ajili ya kujenga chama.