Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Sidhani kama nimekuelewa
Kawaida, mnapenda kusikia mnachotaka pekee, miti mingi zaidi hata ya hiyo idadi iliyokatwa hapa kwetu iliungua kwenye msitu wa Amazon ambao ndio mapafu ya dunia yet sidhani, cha ajabu ni kwamba Brazil hawakumbani na shida ya nishati ya umeme kama Tanzania, najua kwa akili zako utasema Brazil sio Tanzania.
 
Magu alianzisha mpango wa kutoa miche ya miti bure 5m kila mwaka ili kutunza uoto wa asili
Mwambieni mama aendeleze huo mpango
Shida ya watanzania ni kulia lia tu, ukimuuliza mtoa mada kama kwenye makazi yake au ndani ya sehemu ya jamii yake kaotesha hata miche ishirini sidhani kama atakupa jibu. Ninakiburi kwenye hili maana nimeotesha kwa mikono yangu miti zaidi ya hamsini na yote imekuwa kwa kiwango kizuri na bado ninampango endelevu.
 
Kawaida, mnapenda kusikia mnachotaka pekee, miti mingi zaidi hata ya hiyo idadi iliyokatwa hapa kwetu iliungua kwenye msitu wa Amazon ambao ndio mapafu ya dunia yet sidhani, cha ajabu ni kwamba Brazil hawakumbani na shida ya nishati ya umeme kama Tanzania, najua kwa akili zako utasema Brazil sio Tanzania.
Huwa sibishani...
 
Magu alianzisha mpango wa kutoa miche ya miti bure 5m kila mwaka ili kutunza uoto wa asili
Mwambieni mama aendeleze huo mpango

Mwaka 2019 Ethiopia walitaka kupanda Miti 200m kwa masaa 12 nchi nzuma
Matokeo yake walivunja rekodi na kuvuka kiwango kile na kufanikisha kupanda 350m
Sisi bado sana
Na sababu viongozi wetu wengi aidha hawajui thamani yake au hawajali
 
Waafrika wengi wana ubongo, upo tu kama kiungo ndani ya fuvu la kichwa, ni mkusanyiko wa nyama ambao hauwezi kuchakata fikra na kutoa majibu sahihi kwa matatizo yanayowazunguka 🧠💀
canabis sativa.....umenikumbusha mbali sana
 
Mwaka 2019 Ethiopia walitaka kupanda Miti 200m kwa masaa 12 nchi nzuma
Matokeo yake walivunja rekodi na kuvuka kiwango kile na kufanikisha kupanda 350m
Sisi bado sana
Na sababu viongozi wetu wengi aidha hawajui thamani yake au hawajali
imewasaidia nini ? mbona kila siku mamia ya wananchi wanakimbia njaa wakiwa kwenye makontena?
 
Mkuu, kwa hiyo jangwani mvua hazinyeshagi.

Kwa hiyo tukate miti nasi tuwe jangwa mvua zitanyesha tu.

Kasome jiografia ujue uko kwenye ukanda/climatic zone ipi?

Wewe unapataje mvua na kwa kiasi gani?

Wao wanapataje mvua na kwa kiasi gani?

Wamefanya nini ili kumudu mazingira yao?

Tuko tayari?

Wakati tuantegemea maji yanayotiririka yenyewe mtoni.
 
Acha ujinga. Miti milioni mbili ni tone sana kulinganisha na misitu tulio nayo. Labda wewe unaijua Tanzania ya Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani tu. Kuwa wazi kwamba mna makasiriko yenu dhidi ya marehemu.
 
Hebu rudia kusoma tena, sijawahi kuwatetea, yaani kama huoni kuwa kukata miti kuna athari kwa namna Fulani....point yangu ni kupinga maombi wanayotaka kufanya kwa mgongo wa ukame
Ni kweli kabisa. Yaani maombi Yana uhusiano gani na kunyesha kwa mvua. Hata shule ya msingi tulifundishwa jinsi kutunza mazingira ili ardhi iwe na maji na unyenyevu kwa ajili faida ya viumbe na hakujawahi kuwa na some la maombi ya mvua. Watu wa dini wanatumia uelewa duni wa wengi ili waendelee kuwepo. Je serikali Ina Mipango gani endelevu ya kukabiliana na ukame, je kuanzia kijiji mpaka mkoa Kuna hifadhi yeyote ya chanzo cha maji cha dharula. Sasa hivi shughuli nyingi za kilimo na ufugaji zinategemea mvua.na mvua isiponyesha ni maafa ya ukame. Kila mwenye shamba au eneo kubwa angeweza kuchimba kisima ingekuwa ni moja ya sehemu ya kukabiliana na ukosefu wa mvua/maji na hapo Wana maombi wasinge jifanya kuombea mvua wakati maji siyo tatizo kubwa.
 
Kwa hiyo mvua za Tanzania nzima zinatengenezwa na hiyo miti milioni mbili iliyokatwa hapo rufiji, ngumu kumesa hii........labda useme wazee wa tambiko hawajapewa chao kwa hiyo wameenda kuzuia mvua.
 
Mabonde ya Maji nchi hii practically hayaelewiki kazi yao ni nini. Kiuhalisia ndio walitakiwa watunze/ wahifadhi vyanzo vya maji lakini wao wamekuwa wanaangalia upande wa biashara- kuuza vibali vya matumizi ya maji pamoja na vibali vya ruhusu ya kuruhusu maji yaliyotumika kurudi kwenye mfumo " discharge permits". Ukweli wa mambo ni kuwa kazi ya uhifadhi inafanyika kidogo sana kwa kuweka tu mabango, na elimu kidogo, na inakuwa haina tangible results. Matokeo yake ndiyo haya tunayoona leo. Kwa hiyo ni afadhali kufanya haya haraka.
1. Mabonde yote yavunje kisheria na kazi yake ifanyike na halmashauri za wilaya , manispaa na majiji
2. Watu wa mali asili ya halmashauri, manispaa na majiji wapimwe utendaji wao kwa jinsi wanavyoweza kuhifadhi vyanzo vya maji
3. Kazi ya kutoa vibali vyote ambavyo vilikuwa vinatolewa na mabonde ya maji vitolewe na halmashauri husika
4. Ofisi zote za mabonde husika zichukuliwe pale zilipo na halmashauri husika
Hii ndiyo inatakiwa iwe jf great thinkers. Siyo Habari ya maombi. Kujua tatizo na kulitafutia ufumbuzi ndiyo maendeleo. Maombi hayana msaada wowote kwenye matatizo ya tabia nchi
 
Ni kweli kabisa. Yaani maombi Yana uhusiano gani na kunyesha kwa mvua. Hata shule ya msingi tulifundishwa jinsi kutunza mazingira ili ardhi iwe na maji na unyenyevu kwa ajili faida ya viumbe na hakujawahi kuwa na some la maombi ya mvua. Watu wa dini wanatumia uelewa duni wa wengi ili waendelee kuwepo. Je serikali Ina Mipango gani endelevu ya kukabiliana na ukame, je kuanzia kijiji mpaka mkoa Kuna hifadhi yeyote ya chanzo cha maji cha dharula. Sasa hivi shughuli nyingi za kilimo na ufugaji zinategemea mvua.na mvua isiponyesha ni maafa ya ukame. Kila mwenye shamba au eneo kubwa angeweza kuchimba kisima ingekuwa ni moja ya sehemu ya kukabiliana na ukosefu wa mvua/maji na hapo Wana maombi wasinge jifanya kuombea mvua wakati maji siyo tatizo kubwa.
Asante saaana
 
Kwa hiyo tukate miti nasi tuwe jangwa mvua zitanyesha tu.

Kasome jiografia ujue uko kwenye ukanda/climatic zone ipi?

Wewe unapataje mvua na kwa kiasi gani?

Wao wanapataje mvua na kwa kiasi gani?

Wamefanya nini ili kumudu mazingira yao?

Tuko tayari?

Wakati tuantegemea maji yanayotiririka yenyewe mtoni.
Umemjibu vyema
 
Kwa hiyo mvua za Tanzania nzima zinatengenezwa na hiyo miti milioni mbili iliyokatwa hapo rufiji, ngumu kumesa hii........labda useme wazee wa tambiko hawajapewa chao kwa hiyo wameenda kuzuia mvua.
Low minded, non reasoning
 
Back
Top Bottom