Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

Hiki ndio kilimfanya Mike Tyson kuwa tishio ulingoni
 
Hauna mpenzi?
 
Kitu hicho hutokea Kwa sababu ya Mtu kujihukumu baada ya kufanya hiko kitendo ila ukiwa na ujasiri na kukiri kwamba Wewe ni mwana wa Mungu na Roho waMungu anaishi ndani Yako siku zote hakuna atakaekutenganisha nae basi hapo shetani na mawazo yake dhaifu hayawezi kukupata na utakuwa na nguvu daily
 
Hujawahi kuona kuna baadhi ya watu wakikutana na wanyama uso kwa uso wanyama hao wanakimbia wenyewe haijalishi uhatari uliowahi kuusikia kuhusu wao?
Weweee, labda siyo Mbogo aliyejeruhiwa.

Anakugonga mazima, sasa wewe nenda, kajifanye kiborodinda tu unamvimbia, eti kwa sababu hujafanya mapenzi, anapita na wewe.

Ni bora ukimbie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…