Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Umewaza kama mimi...Ni wangap huko Muda huu wanateketea kwa kukosa pesa za matibabu.....Jambo jema sana, serikali iwaone na makapuku wengine wanaokufa kwa maumivu sana kwa kukosa support ya matibabu.
#HAKIKWAWOTE.
Hata kiswahili huwezi kuandika!Wewe ndio matahahira mliotajwa kwenye ripoti ya twaweza so endelea na utahaira wako
Kuna program ya ustawi wa jamii kila hospitali na kama hujui nusu ya mapata ya hospitali nyingi za serikali zina enda kwenye misamaa na serikali hulipaWewe mtu upo Tanzania hii kweli? Mtu mwenye shida ya matibabu akamuone diwani atasaidiwa?
Upo humuhumu Tanzania au?
Ni kweli hujui Kuna watu wengi wanakufa kwa kushindwa kumudu gharama?
Hawakumkataa Lissu ila kifupi hapakuwa na uchaguzi.Hao makapuko ndo waliomkataa Lisu na sera yake ya bima ya afya kwa kila mtz 2020. Kupanga ni kuchagua
Hujajua ni Kwa Nini nimekuambia hivyo?Wewe mtu upo Tanzania hii kweli? Mtu mwenye shida ya matibabu akamuone diwani atasaidiwa?
Upo humuhumu Tanzania au?
Ni kweli hujui Kuna watu wengi wanakufa kwa kushindwa kumudu gharama?
Neno Mbunge Mstaafu ni neno TU la kumtaja mtu kiuungwana. Haiongezi Wala haipunguzi kitu.ni hivi kwanza hakuna cheo cha mbunge mstaafu.
Pili kuna wahitaji wengi sana ambao wangeitaji kusaidiwa na serikali tena wao mahitaji yao ni makubwa kulipo huyo mtu ambaye wa miaka 5 2015-2020 aliuwa mbunge na aliingiza kipato cha zaidi ya bilion 1.wa kipindi hicho
kuna watu maskini wanahangaika kwa ajili ya kukosa fedha za matibabu hao ndio seriali ingetakiwa iwasaidie.
Hata sisi waroma tuna sala yetu tunapomuomba Mungu tunamwombia awasiadie kwanza "wenye mahitaji zaidi kulipo sisi"
Kapitie upya ile ripoti ya twaweza halafu mjirekebishe ila ndio hivyo nahisi kichwani kwako hakuna ubongo bali kuna matopeHata kiswahili huwezi kuandika!
Elimu; elimu; elimu!
Ni upotoshaji tu na upumbavu hakuna kitu kinachoitwa mbunge mstaafu , Mbunge hastaafu labda hujui maana ya neno mstaafu.Neno Mbunge Mstaafu ni neno TU la kumtaja mtu kiuungwana. Haiongezi Wala haipunguzi kitu.
Hao wahitaji wengi hata kule kwenye Hospitali za Kanisa la warumi wanalipa fedha nyingi japo hizo Hospitali zimejengwa Kwa Sadaka na Kodi za
Lakini hao hao uchwara ndiyo waliolileta nje tukalifahamu usiwaite uchwaraMichango isitishwe sasa
Maana kwenye vimedia uchwara
Naona watangazaji washaanza...
Kuwaomba watu watoe hela
Ova
Wamemchangia shiling ngapi, kama mtu kapata bahati hiyo yakutibiwa mwacheni MUNGU alipanga hivyo sio kutoka mapovuKuna watu wamepanic jamaa kutibiwa na serikali
mkuu ni dhana potofu kuacha fedha za serikali zitumike kwa mtindo wa bahati,fedha za serikali ni fedha za umma zinatakiwa zitumike kwa kufata taratibu rasmi hususani kwenye suala la matibabu, kuna wahitaji wengi sana tena wengine ni watu masikini sana embu tuacheni mzaha na matumizi ya fedha za ummaWamemchangia shiling ngapi, kama mtu kapata bahati hiyo yakutibiwa mwacheni MUNGU alipanga hivyo sio kutoka mapovu
Mkiona zinanunuliwa ndege kwa wingi mjue lengo ni kuongeza mzunguko wa biashara ili kodi ipatikane kwa wingi. Kupatikana kwa kodi kunaongeza uwezo wa serikali kuhudumia wananchi wake.Ummy,
Kwanza kabisa umefanya jambo la maana sana kughramikia matibabu ya Prof lakini labda tu nikwambie umeyasema hayo ktk wakati usio sahihi hata kidogo.
Profesa hana shida kiuchumi hivyo acheni kabisa kuingiza siasa ktk masuala ya msingi. Kuna watu wengi hasa kule Ikungi, Lyankoma, Simiyu wanahitaji matibabu na hawana usaidizi eti leo mnakuja hapa kutuambia kwamba mmeona mgharamikie kupunguza ugumu wa maisha kwa Profesa. Narudia acheni kucheza na maisha ya watanzania kisiasa.
Kama kumsaidia, anzeni kusaidia watu wasio na uwezo na wana magonjwa makubwa makubwa ila hawa wenye uwezo na profle mkitaka kufanya fanyeni kimya kimya. CCM mnakwama sana acheni siasa ktk masha ya watanzania.
Nimemaliza, naamini ujumbe utaupata dk hii hii.
Tena mbumbumbu inawaburuza hasa!CCM inakaba kila kona!
Trekta zinaongeza sana tena kwa haraka zaidi mzunguko mkubwa Sana wa fedha nchini kuliko ndege.Trekta zingesharudisha pesa yote ndege hata robo tu bado kimbembeMkiona zinanunuliwa ndege kwa wingi mjue lengo ni kuongeza mzunguko wa biashara ili kodi ipatikane kwa wingi. Kupatikana kwa kodi kunaongeza uwezo wa serikali kuhudumia wananchi wake.
Hizi pingapinga zinaikwamisha serikali na kukwamisha wananchi wanaofikiwa na mzunguko wa pesa unaosababishwa na ongezeko la kodi.
Ni wazo zuri kila mtu kupata matibabu kwa gharama sawa na bure lakini wakati uwezo haujaweza kufikiwa cha maana kufanyika ni kuunga mkono mipango ya muda mfupi na mrefu kwa lengo la kubadilisha maisha ya mtanzania wa kawaida.
Point.Na Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?
Kwanza kwa nini agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?
Ni bora tu wangeacha watu wamchangie na wao kama wanataka kumsaidia, basi wangechanga tu kama watu binafsi.
Hilo sio tatizo, tatizo wengine je? Hii serikali yenyewe inajichimbia shimo, ni vigezo gani Waziri ametumia? Haya mambo ya kukurupuka bila kuwa na sheria madhubuti yanaligharimu taifa. Why them and not others? Shame on them.Watanzania hatuna jema kwa kweli, kama hadi hili la Prof J kusaidiwa inakuwa nongwa?
Mungu atamlinda na kumsimamia mja wake Joseph.Tumuombee apone salama, nyimbo ni kiashiria cha yajayo