Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
hili lipo toka enzi na enzi, hata kwa Mungu hakuna usawa,hata Yesu aliwahaidi pepo wale jamaa aliosurubiwa nao, utauliza kwanini wale aliwakubalia kuwa nao katika ufalme wa mbinguni huku akiacha wengine wajipiganie wao ?
hata Mungu alimsifu Ayubu,je watu wengine wangelalamika kwanini hajawasifu ?
Unachohitaji kuelewa ni kwamba sio vitu vyote vinalinganishika. Vitu vingine havilinganishiki!
Haya, tuambie ni kitabu gani kwenye Biblia kinamzuia Mungu (akiwemo Mwanae wa pekee) kufanya discrimination?