Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Kobe Bryant alikubaliana na mke wake wasipande helicopter pamoja. Wasiwasi wao ukawa kweli kwani Kobe na mwanaye wa kwanza walifariki kwenye helicopter crash.kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination
msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Mkuu matajiri wengi hawapandi helicopter pamoja. Hata gari utakuta Kila mtu na lake. Helicopter humaliza sana watu.Kwa hii logic basi msiishi pamoja nyumba inaweza shika moto ikaondoka na wote.
Kwahiyo cha kufanya mtoto mmoja anakua labda Mtwara, mwingine Moshi, wewe Iringa na mama yao Dar.
Ukitaka kujamiiana na mama yao unaenda Dar unajamiiana kwa saa mbili labda halafu unageuza Iringa.
Watoto wanakuja weekend wanakaa dakika tano wanaondoka ili majanga yasiwakute pamoja.
Umetoa hoja kali sana,watu wanafanya mzaha na misiba ya wenzao,kwenye msiba wasilete mizaha.Kwaiyo hata mungu wenu yesu aliuliwa na Allah?
Risk and vulnerableKwa hii logic basi msiishi pamoja nyumba inaweza shika moto ikaondoka na wote.
Kwahiyo cha kufanya mtoto mmoja anakua labda Mtwara, mwingine Moshi, wewe Iringa na mama yao Dar.
Ukitaka kujamiiana na mama yao unaenda Dar unajamiiana kwa saa mbili labda halafu unageuza Iringa.
Watoto wanakuja weekend wanakaa dakika tano wanaondoka ili majanga yasiwakute pamoja.
Biblia ni ya zama za kale mzee. Siku hizi ajali nje nje!Kuna kifo halafu kuna kifo cha kuwahishwa kwa uzembe au uhuni wa watu wengine. kwenye Biblia maandiko yanasema miaka 70 ni guranteed ukifa kabla ya hapo we umetoroka.
Unaelimishwa uhalisia wa maisha wewe unaingiza imani hivi mfano familia ina watu sita mnaenda mwanza wawili mnapanda Isamilo, wawili wanapanda Katarama, wawili wanapanda Ally's star, hebu eleza huu umma Mungu anawauwaje wote kwa dakika moja? We endeleza upuuzi wa kusafirisha watoto wote nane kwenye basi moja halafu umtupie Mungu lawama za kipuuzi.Kama unaamini MUNGU yupo, basi kifo amekipanga yeye, hata mkiwa mmoja kapanda gari mwingine kalala nyumbani kama ilipangwa mfe.. basi mtakufa hakuna kizuizi.
Marehemu baba angu miezi mi NNE Sasa apumzike kwa amanikama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination
msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Naunga MKONO hojaUnaelimishwa uhalisia wa maisha wewe unaingiza imani hivi mfano familia ina watu sita mnaenda mwanza wawili mnapanda Isamilo, wawili wanapanda Katarama, wawili wanapanda Ally's star, hebu eleza huu umma Mungu anawauwaje wote kwa dakika moja? We endeleza upuuzi wa kusafirisha watoto wote nane kwenye basi moja halafu umtupie Mungu lawama za kipuuzi.