Ajali hutokea sana ila kwa mfano una gari na mnaenda sehemu inabidi nifanyeje boss
Kweli najua wengi husema hivyo
Lakini ajali mbaya hutokea sana nchi zisizo na uangalifi na kutokutii shuruti
Kwa huku nilipo kila wakati natoka na familia kama ni safari au pleasure
Familia kuisha wote inatokea popote sio ajali ya gari tu bali hata koboko anaweza kuingia ndani akauwa wote kwa mpigo
Maisha haya daa