TEC wanangoja kwenye Ballot ili kuwatia adabu CCM
Walishindwa 2010,Bila waislam hushindi,wakatoliki wanadai wapo 13m,walutheri juzi wamesema wapo 8m,tufanye walokole wapo 5m,waliobaki katika 65m ni akina nani?..na si wakatoli wote watiifu,juzi kateuliwa naibu waziri mkuu toka kanda ya ziwa,leo kateuliwa mwenezi toka kanda ya ziwa,hizo ni hesabu za uchaguzi
 
Nimpongeze Rais kwa kusikiliza maoni ya wanaoipenda Tanzania.

Nimpongeze pia kwa kusimamia haki ya kila mtanzania kutoa maoni.

Kuna mengi ya kujifunza:
“Ikiwa kiongozi una maono ya kuwaletea watanzania maendeleo, fanya wala usiangalie ushauri wa wanaokuzunguka. Wengi ni wabinafsi, hawana hofu, ni wapigaji. Masikio yako ni vyema yakasikiliza wananchi moja kwa moja”.

Bunge, mahakama na serikali vyote vimetufelisha. Ni busara zake Rais za kusikiliza wananchi zimetufikisha kwenye makubaliano haya.

Niwapongeze pia wote wanaoipenda Tanzania kwa dhati na wapo tayari kuitetea kwa kila namna.

Uzalendo kwanza
 
kwahiyo kumbe pale awali walituona sisi wajinga? nakama kuna kitu tumefichwa, watakuja kutema ndoano muda si mrefu, time will tell. kama wametusikiliza, basi wacha nianze kuagiza mizigo toka dubai. hata magari sasaivi tutachukulia dubai tu hapo.
 
..louder please
 
MOU ambayo ndiyo sheria mama iko palepale bila kikomo. Hii ni kama mikataba ya mfanyakazi mmoja na mwengine lakini sheria za kampuni zipo palepale. Hii mikataba Wakati wowote inaweza kubadilishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…