Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100
Mkiambiwa hamuwezi kubishana na serikali mnabisha.

Waraka wa wiki sita, Umeisha kwa habari za Ndani kabisa, Na utekelezaji unaendelea. 📌🔨
Serikali inaweza kulazimisha kila kitu ila final ninwananchi we p............mbi
 
Hii sasa ndio maana ya serikali sikivu, hongera sana mheshimiwa rais hujayapiga rungu mawazo ya watanzania kama waandamizi wako walivyokuwa wanakulazimisha ufanye!
Endelea kuwashtukia wateule wako wasio na nia njema nawewe katika uongozi wako.
 
Sasa kama kila kitu kimerekebishwa mdude kwanini anaendelea kusema maandamano ya kupinga kuuzwa bandari yapo palepale tarehe 9 November? Huyu mdude ni kichaa?
kama anasema hivyo atakuwa hajielewi, tulichokuwa tunakitaka kimefanyika, tushirikiane twende mbele.
 
Kama maoni yamesikilizwa kwanini wapinge? Kutoka milele hadi miaka 30 hakuna atakayepinga kama ni kweli kinachosemwa…uzuri tuone huo mkataba ulivyobadilishwa
Ulikuwa wapi kipindi prof shivji anauongelea huu mkataba wa IGA alisema mkataba hauvunjiki na mikataba inayokuja hatutoweza kuiona tena
 
Walishindwa 2010,Bila waislam hushindi,wakatoliki wanadai wapo 13m,walutheri juzi wamesema wapo 8m,tufanye walokole wapo 5m,waliobaki katika 65m ni akina nani?..na si wakatoli wote watiifu,juzi kateuliwa naibu waziri mkuu toka kanda ya ziwa,leo kateuliwa mwenezi toka kanda ya ziwa,hizo ni hesabu za uchaguzi
Hesabu zipi za uchaguzi wakati ikifika siku ya uchaguzi tunaona mabox ya kura, na kutangazwa kura za uongo?
 
Upuuzi mtupu. Mwaka wa nane sasa silijui kanisa wala msikiti as zote zimekuja kwa mashua
 
Kama hoja gani wakati wao walitaka dp World asiwepo kabisa Kwa maelezo kwamba tuendeleaa kujenga uwezo wa ndani?
Inaonekana hujui hata huo mkataba ulikuwa na vipengere gani!!! Kama ni kweli walichosema leo ndio huo mkataba ulivyo kuna mabadiriko makubwa sana!! (hao hawaaminiki) mwanzoni ilikuwa ni kuendesha bandari zote, ila sass ni dar tu, na sio kila sehemu, umri wa mkataba ulikuwa haujulikani lakini sasa ni miaka 30!!!ILA KAMA NI KWELI NDIO MKATABA ULIVYO.
 
Back
Top Bottom