Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Unamaanisha tec au teketekeZa ndani ndani zinasema baada ya serikali kutaka kufanya uwekezaji bandari kwa ushirika na dp world ,kanisa katoliki lilitoa onyo kali juu ya vipengere kadhaa vya mkataba baada ya purukushani hiyo serikali iliamua kukaa meza moja na kanisa na habari za ndani zinasema baada ya ubishani kati ya Tec na serikali maridhiano yalifikiwa kwamba wanasheria wa kanisa na serikali washirikiane pamoja katika kurekebisha vipengere muhimu,,,baada ya hapo wakakubaliana sasa uwekezaji uendelee.
Roma locuta mnahangaikaMABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
1. Mkataba maximum miaka 30
2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
wasingepiga kelele ndio tungekuwa tumeingizwa mjini kirahisi tuRoma locuta mnahangaika
Muda wa mkataba ulikua haujulikani!?..mbona ilikua dhahiri muda utatajwa kwenye hga!?..yaani IGA ilisema hawatolipa Kodi!?..acha uwongoInaonekana hujui hata huo mkataba ulikuwa na vipengere gani!!! Kama ni kweli walichosema leo ndio huo mkataba ulivyo kuna mabadiriko makubwa sana!! (hao hawaaminiki) mwanzoni ilikuwa ni kuendesha bandari zote, ila sass ni dar tu, na sio kila sehemu, umri wa mkataba ulikuwa haujulikani lakini sasa ni miaka 30!!!ILA KAMA NI KWELI NDIO MKATABA ULIVYO.
Acha ujinga,wao wafanye kazi yao ya kuwalisha sakrament,wasipende siasa,waamini maadilo hamna,dini mnaacha,wao kutwa na siasa hawaangalii wanawafikia vipi na kuwarudisha msitariniwasingepiga kelele ndio tungekuwa tumeingizwa mjini kirahisi tu
Acheni kujitutimua, hoja ya tec haikuwa marekebisho ya vipengere vya mkataba bali hoja yao ilikuwa ni mkataba ufutwe kabisa na bandari iendeshwe na wawekezaji wa ndani.Waraka wa TEC umepuuzwaje kwa mfano hapa? Hebu chungulia hapa
Za ndani kabisa zinasema waraka wa TEC umepuuzwa. Haya TEC ifanye kama inajikuna tuone!!
Jamani tupambane kupata katiba mpya. Kwa katiba hii rais ana uwezo hata wa kuwafunga jela TEC wote na asifanywe kitu
zitapungua. kama wamerekebisha vipengele waacheni tuwape muda wa matazamio wafanye kazi.Gharama za mizigo zitapanda.
Mtakuja kurejea hii comment miezi au mwaka mmoja baada ya utekelezaji wa mkataba kuanza.
Tunza hii tarzitapungua. kama wamerekebisha vipengele waacheni tuwape muda wa matazamio wafanye kazi.
wewe ni nani hadi uwaamuru waache kuongea kwa niaba ya waumini wao? yaani kapuku huna lolote unatoa amri kana kwamba una mamlaka ya nchi hii?Acha ujinga,wao wafanye kazi yao ya kuwalisha sakrament,wasipende siasa,waamini maadilo hamna,dini mnaacha,wao kutwa na siasa hawaangalii wanawafikia vipi na kuwarudisha msitarini
Kipengele Cha Ajira kwa vijana pale bandarini kuanzia vibarua sijaona kikielezewa sijui kimerukwa,Za ndani ndani zinasema baada ya serikali kutaka kufanya uwekezaji bandari kwa ushirika na dp world ,kanisa katoliki lilitoa onyo kali juu ya vipengere kadhaa vya mkataba baada ya purukushani hiyo serikali iliamua kukaa meza moja na kanisa na habari za ndani zinasema baada ya ubishani kati ya Tec na serikali maridhiano yalifikiwa kwamba wanasheria wa kanisa na serikali washirikiane pamoja katika kurekebisha vipengere muhimu,,,baada ya hapo wakakubaliana sasa uwekezaji uendelee.
Serikali inahangaika na viwiliwili vya watu wake ambao ni wakatoliki na wengineo,kanisa likitaka lijisajili Kama taasisi ya siasa na maendeleo ya jamii na si diniwewe ni nani hadi uwaamuru waache kuongea kwa niaba ya waumini wao? yaani kapuku huna lolote unatoa amri kana kwamba una mamlaka ya nchi hii?
TEC walichemka tangu mwanzo kabisa. Mzee wa bapa alipotoa video zake za kupinga wanachofanya maaskofu alikuwa sahihi kabisa ila hakuweza kueleweka miongon mwa wakatoliki.Za ndani ndani zinasema baada ya serikali kutaka kufanya uwekezaji bandari kwa ushirika na dp world ,kanisa katoliki lilitoa onyo kali juu ya vipengere kadhaa vya mkataba baada ya purukushani hiyo serikali iliamua kukaa meza moja na kanisa na habari za ndani zinasema baada ya ubishani kati ya Tec na serikali maridhiano yalifikiwa kwamba wanasheria wa kanisa na serikali washirikiane pamoja katika kurekebisha vipengere muhimu,,,baada ya hapo wakakubaliana sasa uwekezaji uendelee.
Ulichoandika hapa sio kweli. Kumbuka kilichosainiwa Leo ni HGA na sio IGA. IGA ilishasainiwa na sijasikia imebadilishwa.Za ndani ndani zinasema baada ya serikali kutaka kufanya uwekezaji bandari kwa ushirika na dp world ,kanisa katoliki lilitoa onyo kali juu ya vipengere kadhaa vya mkataba baada ya purukushani hiyo serikali iliamua kukaa meza moja na kanisa na habari za ndani zinasema baada ya ubishani kati ya Tec na serikali maridhiano yalifikiwa kwamba wanasheria wa kanisa na serikali washirikiane pamoja katika kurekebisha vipengere muhimu,,,baada ya hapo wakakubaliana sasa uwekezaji uendelee.
ndo maana bibi ushungi alikuwa hakauki kanisani.Za ndani ndani zinasema baada ya serikali kutaka kufanya uwekezaji bandari kwa ushirika na dp world ,kanisa katoliki lilitoa onyo kali juu ya vipengere kadhaa vya mkataba baada ya purukushani hiyo serikali iliamua kukaa meza moja na kanisa na habari za ndani zinasema baada ya ubishani kati ya Tec na serikali maridhiano yalifikiwa kwamba wanasheria wa kanisa na serikali washirikiane pamoja katika kurekebisha vipengere muhimu,,,baada ya hapo wakakubaliana sasa uwekezaji uendelee.