Sawa kabisa fukuzeni tu kanisa na St Joseph mjenge msikiti
Wawache yawepo na yaendelee kujengwa tu, yatakuwa misikiti kama kinachoendelea Ulaya sasa hivi.

Kenya yashaanza kubadilishwa huko na kuwa misikiti. Mwenzako akinyolewa na wewe tia maji zako.

Hatuna wasiwasi nayo kabisa tena.
 
Niliunga mkono uwekezaji wa bandari mapema kabisa. Ila nilianza kupata kigugumiz Baada ya kuona yaliyomo kwenye mkataba wa awali. Asilimia 99 yamewekwa sawa.

I greatly commend the Government for the improvement done to safeguard nation interest. Sasa tuhamie mashirika mengine butu yanayo komba tu ruzuku ya serikali miaka nenda Rudi eg TRC.
 
Hicho kizungu chako cha ugoko hakinisumbui kitu. Ni ujinga tu na kutokujielewa😁😁😁

President Samia Hassan's kleptocratic ambitions, if not stopped post-haste, will consign the futures of Tanzanian people to lives of slavish poverty at the hands of her Middle-Eastern accomplices, unimaginable penury, disease, death and disaster.
 
Bado tu na ugoko wako; hukomi, ha ha ha lini utaacha ujinga wako?😁😁😁
 
Kuna ubaya gani mkisema mmedundwa na kitu kizito?
Huku Makonda Paul, kule mikataba 3 ya Bandari!
TEC wanaponaje hapo?
 
Wawache yawepo na yaendelee kujengwa tu, yatakuwa misikiti kama kinachoendelea Ulaya sasa hivi.

Kenya yashaanza kubadilishwa huko na kuwa misikiti. Mwenzako akinyolewa na wewe tia maji zako.

Hatuna wasiwasi nayo kabisa tena.
Usibishe lengo kuu la DP world kujenga misikiti na kuvunja makanisa!!
 
Wajukuu zetu watatulaani miaka hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…