Ndugu wananchi hapa cha kuomba au kutambika ni kwamba hili dili liwe la uhakika tu kusiwe na mambo ya nyuma ya pazia
 
Lazima bandari ifanyie marekebisho tena makubwa sana kilikua kichaka cha wezi .asante mama samia
Wasio na uchungu na nchi na wale mashabiki wafuata mkumbo hawawezi kuelewa faida ya mzigo kushushwa haraka na kumfikia mteja. Hawawezi kuoanisha mzigo unavyoshushwa bandarini na mzunguko wa pesa mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…