Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100
Lazima bandari ifanyie marekebisho tena makubwa sana kilikua kichaka cha wezi .asante mama samia
Wasio na uchungu na nchi na wale mashabiki wafuata mkumbo hawawezi kuelewa faida ya mzigo kushushwa haraka na kumfikia mteja. Hawawezi kuoanisha mzigo unavyoshushwa bandarini na mzunguko wa pesa mitaani.
 
Back
Top Bottom