101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,221
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mlidhani serikali itaacha kufanya mambo ya maendeleo kwaajili ya kuwasikiliza TEC?Kwisha habari yetu
WAGALATIA Leo Wana hasira sanaKwahiyo mlidhani serikali itaacha kufanya mambo ya maendeleo kwaajili ya kuwasikiliza TEC?
Nikajua ni kwa manufaa ya kitaifa kumbe ni vita ya kidini??WAGALATIA Leo Wana hasira sana
Leo wamepigwa siku yao ya kusali zile nyaraka zao Bado wanazisoma?
Wasio na uchungu na nchi na wale mashabiki wafuata mkumbo hawawezi kuelewa faida ya mzigo kushushwa haraka na kumfikia mteja. Hawawezi kuoanisha mzigo unavyoshushwa bandarini na mzunguko wa pesa mitaani.Lazima bandari ifanyie marekebisho tena makubwa sana kilikua kichaka cha wezi .asante mama samia
Upuuzi mtupu wanataka tu kutucheleweshea maendeleo hao.WAGALATIA Leo Wana hasira sana
Leo wamepigwa siku yao ya kusali zile nyaraka zao Bado wanazisoma?
Manufaa ya kitaifa ndio haya tunaboresha utendaji kazi na kuzuia wizi na ubadhirifu bandarini.Nikajua ni kwa manufaa ya kitaifa kumbe ni vita ya kidini??
Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023.
Usiliombee taifa lako mambo mabaya.Hahahahaha.Muda utaongea.Tuombe uzima tu.Muda haudanganyi.
Tunafuatilia kwa karibu hapa nilipo kuna umemeWamekata na umeme kabisa ili tusione
Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023.
Acha uongo umeme upo na tunapewa madini.Wamekata na umeme kabisa ili tusione