Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kuna wakristo wenye kusumbuliwa na udini pia, wapo makanisani wengi tu.Mnaogola misikiti itakua mingi!?..Samia anajenga irrigation schemes nchi nzima, miundombinu ya afya,anaajiri,kaajiri walimu 30k,bandari mapato yataongezeka,huo u-worst wake ni upo!?..nyakati zimebadilika
SijakuwalewaMnaogola misikiti itakua mingi!?..Samia anajenga irrigation schemes nchi nzima, miundombinu ya afya,anaajiri,kaajiri walimu 30k,bandari mapato yataongezeka,huo u-worst wake ni upo!?..nyakati zimebadilikak
Anaingia kwenye listi ya watu waliohusika uuzwaji wa Tanganyika?Mpoto mnafki sana
Hamna namna ..Mama anajuwa kweli kweli. TEC wamealikwa washuhudie.
Nadhani hujasikiliza kuwa issue zao zimejibiwa na kurekebishwa?Mjomba Mpoto anawapa vTEC idonge vyao, uso kwa uso.
Haswaa, na kaiuza nafsi yake pia.Anaingia kwenye listi ya watu waliohusika uuzwaji wa Tanganyika?
Sasa hivi sisikii lolote.Nadhani hujasikiliza kuwa issue zao zimejibiwa na kurekebishwa?
Ndio ndio JajiKiongozi ni yule anayesikiliza watu, amesikia kilio cha watu kuitaka DP WORLD kwa namna yeyote na aendelee na hekhma hiyo hiyo!
Amelipwa mamilioni kwaajili hiyo kama Kitenge alivyolipwa.Ila kwa maoni yangu kumoa forum Huyo mjomba ni matumizi mabaya ya muda. Analeta uhamasishaji sehemu ambayo haiihitajiki. Watu washasaini.