Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kuna wakristo wenye kusumbuliwa na udini pia, wapo makanisani wengi tu.Mnaogola misikiti itakua mingi!?..Samia anajenga irrigation schemes nchi nzima, miundombinu ya afya,anaajiri,kaajiri walimu 30k,bandari mapato yataongezeka,huo u-worst wake ni upo!?..nyakati zimebadilika