Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Acha kukalilishwa tumia akili yako na wewe unaamini ni mkabata wa maisha😂Siku tukitaka kuuvunja wasije kutushinda tena kwa mabilioni ya hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukalilishwa tumia akili yako na wewe unaamini ni mkabata wa maisha😂Siku tukitaka kuuvunja wasije kutushinda tena kwa mabilioni ya hela
Sasa unataka kubisha nini........kwani tunakaa mtaa mmoja wewe kibunuAcha uongo umeme upo na tunapewa madini.
Hajaliombea mabaya amesema muda utaongeaUsiliombee taifa lako mambo mabaya.
HAkutakua na maneno? ( yani uhakika wa mambo kwenda sawa kwenye vifungu upo ?) Kwa hii serikali?Asante kwa taarifa, hizi sasa ndio HGA
P
Sijakupata?TEC wamesaini mkataba?
Ndiyo hivyohivyo, nauliza wanaosaini mkataba ni TEC?Sijakupata?
Mkataba ulifanyiwa marekebisho.Slaa, mdudu, mwambulukuku, baraza la Maaskofu TEC wote wapo live sasa hivi, bila kumsahau #@anna Tibaijuka na Mama Amon.
Wote hao wapo live sasa hivi.
FAiza hivi vitu si vya kushangilia kama ushindani wa simba na yanga, hasa kipindi hiki ambacho tumepigwa deni na winshear group, The idea ni kuhakikisha vifungu vimenyooka kusiwe na matatizo baadaeSlaa, mdudu, mwambulukuku, baraza la Maaskofu TEC wote wapo live sasa hivi, bila kumsahau #@anna Tibaijuka na Mama Amon.
Wote hao wapo live sasa hivi.
Wa Al Ahly .Mkataba upi ule wa kiarabu au?
TEC walisema raia hawataki hui mkataba nchi imeuzwa mkataba wa miaka 100.Ndiyo hivyohivyo, nauliza wanaosaini mkataba ni TEC?
Nchi Ina kiongozi Mkuu wa hovyo sana, Mungu ataamua kama alivyowahi kuamuaMkataba ulifanyiwa marekebisho.
1. Muda wa mkataba- 30yrs
2. Bandari zinazohusika -DSM tu
Kumbuka mkataba wa awali ilitaja bandari zote ndani ya TZ.