Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100
Slaa, mdudu, mwambulukuku, baraza la Maaskofu TEC wote wapo live sasa hivi, bila kumsahau #@anna Tibaijuka na Mama Amon.

Wote hao wapo live sasa hivi.
FAiza hivi vitu si vya kushangilia kama ushindani wa simba na yanga, hasa kipindi hiki ambacho tumepigwa deni na winshear group, The idea ni kuhakikisha vifungu vimenyooka kusiwe na matatizo baadae
 
Back
Top Bottom