Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023.
Kuongeza ufanisi kwa huduma za meli na shehena, kupunguza muda kwa bandari katika kuchakata nyaraka, kuongezeka kwa mapato ya serikali, kupungua kwa udanganyifu, kuimarisha nafasi ya ushindani kwa bandari, kuongeza ajira na kupunguza gharama za usafirishaji wa mizigo kuja bandari ya Dar es salaam.
Aidha, muda wa usafirishaji wa mizigo kutoka mashariki ya mbali utapungua kutoka siku 30 hadi 15.
Haitegemewi kufungwa kwa biashara zozote za wazawa zinazofanyika bandarini.
Imeisha hiyo 🤣🤣Mdude na Mwakibusi wapo live 🤣
Dubai Port WorldKumekucha....
Leo siku yako ya sherehe hongera mfilist FaizafoxySimba keshokutwa kama DP World Dar.
Meli 400 za DP World kuja moja kwa moja bandari ya Dar.
Habari yako kama ipi hiyo ikiyokwisha?Kwisha habari yetu
Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023.
Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA utaongeza ufanisi kwa huduma za meli na shehena, kupunguza muda kwa bandari katika kuchakata nyaraka, kuongezeka kwa mapato ya serikali, kupungua kwa udanganyifu, kuimarisha nafasi ya ushindani kwa bandari, kuongeza ajira na kupunguza gharama za usafirishaji wa mizigo kuja bandari ya Dar es salaam.
Aidha, muda wa usafirishaji wa mizigo kutoka mashariki ya mbali utapungua kutoka siku 30 hadi 15.
Haitegemewi kufungwa kwa biashara zozote za wazawa zinazofanyika bandarini.
Hongera sana na wewe, nafahamu umefurahi sana.Leo siku yako ya sherehe hongera mfilist Faizafoxy
Wewe huyo au siyo? 😁😁😁😁Hawa mbuzi hawataacha ujambazi hadi visu vikalie shingoni mwao! subirini Rubish!
Dubai Port WorldHuu wa dp world au
Hapa ndo nimepaelewa sanaMkataba una miaka 30 na kila baada miaka 5.
Hizo porojo za kina Padri Slaa miaka 100 walipata wapi.
Hii nchi imejaa wajinga sana na chuki zisizo na maana.
Punguani yule mdude na wajinga wenzake povu linawatoka bure.
Huu ndiyo mkataba wa kwanza Rais anashudia utiaji saini.Mkataba ulifanyiwa marekebisho.
1. Muda wa mkataba- 30yrs
2. Bandari zinazohusika -DSM tu
Kumbuka mkataba wa awali ilitaja bandari zote ndani ya TZ.