Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100
Tena mmepigwa na mshtuko wa ajabu, nilikuwa nawaona maaskofu walivyoliachia domo wazi.
maaskofu walishapewa mwaliko na walijua wanaenda kwenye utiaji saini, hivyo it wasn't a surprise to them. na kama hujaelewa, kuna vipengele vingi tu vimebadilika, usije kuwa unapiga domo hapa ukifikiri hawajasikilizwa au upo kama vile awali, hujajua. Samia kasikiliza wananchi na kabaidlisha, walimwingiza king mama na walikuwa wanataka aharibikiwe ili apate shida kwenye uchaguzi 2025, amestuka na kawabwaga huko.
 
FaizaFoxy, tulijenga barabara, na SGR ili kurahisisha uwekezaji wa watu wote, sio wa dp world tu, wao watafikisha mizigo yetu haraka bandarini, na tunawaruhusu watumie opportunity ya sgr. dp world kwetu ni wa muhimu zaidi kuliko wazungu ndio maana hata mapingamizi yote tuliyeleta, tulilenga vipengele vya mkataba, sio uarabu au vinginevyo. kwasaba, walivyobadilisha vipengele kutokana na maoni yetu, serikali ikamilishe haraka SGR, waboreshe barabara toka hapa hadi mpaka na zambia, mpaka na burundi, mpaka na Rwanda na mpaka na Uganda, kwasababu landlocked zote mizigo yao sasa itapitia hapa.

ila tunamshukuru Rais Samia, ni msikivu (speaking from the bottom of my heart), kile kipengele kuhusu bandari zingine kwamba tuwaambie kwanza wao, kimefyekwa, sasa mwekezaji mwingine anaweza kuja kujenga bandari maeneo mengine ili ashindane na dp world. safi sana.
Umeyaelewa leo hayo?
 
ni kweli lakini kama sio kelele tuliopiga ungepita mkataba wa ajabu sana nafrahi wameona watu wameamka sasa wakastuka.
Acha porojo since day one tuliwaambia acheni upotoshaji, Ile ilikuwa ni IGA tukawaambia mambo ya muda na na nini serikali itapata yatakuwepo kwenye HGA na ndo huo sasa umesainiwa Leo!
 
Umeyaelewa leo hayo?
wewe ndio hujaelewa kwasababu hata awali msimamo ulikuwa ni huu lakini wewe hata leo unashangilia yale ya mkataba wa awali, bila kujua umerekebishwa kwa kufuata maoni kinyume chako. hongera Samia.
 
Acha porojo since day one tuliwaambia acheni upotoshaji, Ile ilikuwa ni IGA tukawaambia mambo ya muda na na nini serikali itapata yatakuwepo kwenye HGA na ndo huo sasa umesainiwa Leo!
orojo za nini ivi unaijua serikal au unaichukulia ppoa unajua ni familia yako imekaa pale sio wapigaji wamekaa macho masaa24 wanatafuta namna ya kuweka mrija
 
22 October 2023
Dodoma, Tanzania
Sultan Ahmed bin Sulayem - DP World to inject over US$ 250 million following the successful singing of Concessions to run upgrade the Dar es Salaam port.

View: https://m.youtube.com/watch?v=g2LU6TtSTos
Today marks a special day between Tanzania and DP World. It is a milestone and a significant step working together to upgrade the port of Dar es Salaam to eliminate the delays and make the port of Dar es Salaam a major hub to serve the region for example the copperbelt region in the southern region of this part of Africa.

After a long talks, the government of Tanzania and world giant harbour operator based in Dubai, DP World managed to iron out legal and political issues that were threatening to delay the project.
 
Mungu ibariki Tanzania, huu ni uwekezaji mzuri sana.
Fikiria kuondoa ule ufisadi wa pale bandarini, ukwepaji kodi, mizigo kukaa mda mrefu, ushindani duni wa huduma na kwa ujumla kupelekea bidhaa kuwa na garama kubwa kwa mnunuaji wa mwisho.

Hongera Tanzania, hongera serikali ya awamu ya sita, hapa tunaenda kupata mapato makubwa takribani mara 5 ya enzi za wapigaji.
 
22 October 2023
Dodoma, Tanzania
Sultan Ahmed bin Sulayem - DP World to inject over US$ 250 million following the successful singing of Concessions to run upgrade the Dar es Salaam port.

View: https://m.youtube.com/watch?v=g2LU6TtSTos
Today marks a special day between Tanzania and DP World. It is a milestone and a significant step working together to upgrade the port of Dar es Salaam to eliminate the delays and make the port of Dar es Salaam a major hub to serve the region for example the copperbelt region in the southern region of this part of Africa.

hiyo ni hela ndogo sana. kwasababu tulishakopa pesa mara nne zaidi ya hiyo toka world bank, na hatujuiipo wpai na ilikuja kwa ajili ya bandari hiyohiyo.
 
Back
Top Bottom