Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100
Ni Mkataba au ni Makubaliano?

Wapi IGA vs HGA?
Vipi Mkataba una ukomo au hauna ukomo?
Vipi Serikali inaweza kujitoa au haiwezi kujitoa?

Vipi nani atakusanya mapato?

Usicheze na Nguvu ya Umma ukiamua.

Kila la kheri Mama Samia umewakwepa wakuda wa ndani ya ccm na ufisadi wao walitala kukuingiza chaka.
Wabongo wanataka kubeba sifa wakati suala zima limefuata utaratibu ule ule wa mikataba ya kimataifa.

Tangu mwanzo kabisa ilijulikana ni IGA ndio imeingia mle bungeni na kupitishwa.

Masuala ya ukomo hayawezi kuandikwa kwenye IGA mle kuna ufupisho tu wa biashara nzima, kwa kirefu ukomo umekuja huku kwenye consession na lease agreements, mengi yameandikwa huku kwenye mikataba yenyewe husika ya kibiashara.

Hakuna suala la nguvu ya umma, ni suala la mtiririko wenyewe wa michakato ya uandishi wa mkataba mpaka kufikia hatua ya kuandikwa kwa hiyo mikataba ya kibiashara na mpaka kusainiwa kwa hayo makubaliano.

Uelewa wetu mdogo ni tatizo hata la namna wengi wetu tunavyojadili masuala nyeti ya mikataba.
 
Sio mbaya sana ila,
Vipi baada miaka mitano tukifanya evaluation tukagundua DP WORLD wanafanya kazi chini ya kiwango au kinyume na makubaliano je tuna weza kuvunja mkataba bila kulipa fidia yoyote???
FaizaFoxy
 
Hahahahaa pale linapofanyikwa jambo jema kwa manufaa ya Taifa tutasema hata kama limefanywa na mchawi
Ni tofauti kubwa iliyopo, kati ya "jambo kufanyika vizuri" kwa kutambua makosa yaliyofanywa na kuyarekebisha kwa nia njema; na "jambo jema" kufanyika kwa hadaa ya kuwa na nia ovu mbeleni kwa jambo hilo hilo, au yanayofanana na hilo.

Hapa, hawa watu (viongozi) wametapishwa nia ovyo, kwa kuona hawana njia ya kulisukuma jambo hilo mbele bila ya wao kudhurika.

Sasa wanafanya hadaa ya kukubali kurekebisha, ili wajiimarishe upya kuendeleza ile nia ovu ya mwanzo.
 
Mtu na akili timamu unakomalia hili la kupitishwa "Bungeni"; na ukijua dhahiri hayo ni maigizo?
Waagizaji na wauzaji wa bidhaa kupitia bandari wanakwenda kufaidika na mradi huu sisi wapiga kelele wa humu JF tunakwenda kuhamishia mijadala yetu kwenye masuala mengine.
 
Waagizaji na wauzaji wa bidhaa kupitia bandari wanakwenda kufaidika na mradi huu sisi wapiga kelele wa humu JF tunakwenda kuhamishia mijadala yetu kwenye masuala mengine.
Hapa jipya ni lipi unaloongezea katika mchango wako juu ya swala hili, kama siyo kurudia tu yale yale ambayo kila mtu anayataka na kuyaelewa.
 
Kwahiyo mlidhani serikali itaacha kufanya mambo ya maendeleo kwaajili ya kuwasikiliza TEC?
Washukuruni hao TEC na wanaharakati huru kupaza sauti na marekebisho yamefanyika, maana kuna bendera fuata upepo hata pale mnapoona sio sahihi mnakenua tu minjino

Bila watu kupambana lile limkataba lingebaki vivyo hivyo
 
Hapa jipya ni lipi unaloongezea katika mchango wako juu ya swala hili, kama siyo kurudia tu yale yale ambayo kila mtu anayataka na kuyaelewa.
Wafanyabiashara wenye kutumia bandari wanakwenda kurahisishiwa uingizaji wa mizigo yao na hili ni suala lenye kugusa sekta nyingi za kiuchumi.

Wewe mwanaharakati huna hata aibu kwa kuishikia bango serikali ishindwe ukisahau kuwa kwa kushindwa kwao pia ni kushindwa kwa sekta nzima ya biashara!.
 
Washukuruni hao TEC na wanaharakati huru kupaza sauti na marekebisho yamefanyika, maana kuna bendera fuata upepo hata pale mnapoona sio sahihi mnakenua tu minjino

Bila watu kupambana lile limkataba lingebaki vivyo hivyo
Hawastahili shukrani yeyote hao hawana nia njema na nchi hii. Mama samia kanyaga twende
 
Binuka nikubamize kwa mpalange.
Eti nasikia wewe ndio Amina Nondo wifi yake na Abdul, Alshabab waliwai kukuteka miaka ya 2018 July alafu wakakuvua Marinda. Eti eti eti eti eti eti eti eti ni kweli Beibi, niambie basi. 😃😃😃😃😃😃
 
Eti nasikia wewe ndio Amina Nondo wifi yake na Abdul, Alshabab waliwai kukuteka miaka ya 2018 July alafu wakakuvua Marinda. Eti eti eti eti eti eti eti eti ni kweli Beibi, niambie basi. 😃😃😃😃😃😃
Binuka nikubamize kwa mpalange.
 
Kwahiyo mlidhani serikali itaacha kufanya mambo ya maendeleo kwaajili ya kuwasikiliza TEC?
Washukuruni hao TEC na wanaharakati huru kupaza sauti na marekebisho yamefanyika, maana kuna bendera fuata upepo hata pale mnapoona sio sahihi mnakenua tu minjino

Bila watu kupambana lile limkataba lingebaki vivyo hivyo
Hawastahili shukrani yeyote hao hawana nia njema na nchi hii. Mama samia kanyaga twende
Hawana nia njema kivipi wakati vipengele uliviona??

Hivi kuna mkataba wa hovyo kama ule??, mkataba gani unahusiha bandari zote napaka za maziwa makuu na bado tulikua tunauchekelea kama mazuzu ifike wakati tuambiane ukweli jau ni jau
 
Mjue wengi ni wagonjwa wa ubongo soma walichoandika DP world “ alongside hinterland logistics projects”. Nahisi huwa mnafikiri sisi ni wajinga wa mwisho aisee
 
Amina Nondo wifi yake na Abdul umeamka salama Kipenzi
Cha wote ? Unaitwa huku
Screenshot_20231024-100205_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom