Kasikilize tena,mimi nilisikia mwenyekiti wao then nikasikia raisi wetu na ndio raisi wa kwanza wa vyama vibgi.
 
Kwa hiki ulichokiandika wewe sio mzalendo kama unavyojiita, kinachokusumbua ni chuki uliyonayo kwa Mh.Lissu.

Ni kweli kabisa Lissu amesema anawapa pole ccm kwa kuondokewa na aliyekuwa Mwenyekiti wao kwa miaka 10. Hakuishia hapo, akaendelea kusema anawapa pole watanzania kwa kuondokewa na aliyekuwa rais wao, aliyekuwa mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu.

Amesema anampa pole vilevile Rais Magufuli, na pia amesema mkapa alikuwa ni raisi wetu hivyo msiba huu si wa Rais Magufuli peke yake ni msiba wetu sote.

Na kesho tunatakiwa tusindikizane twende pale taifa tukamuage mzee Mkapa, tuwape pole ndugu zake na familia yake.

Sasa kauli ya ukakasi hapo ni ipi?
Mi nadhani wewe umeamua tu kuja kutuelezea chuki zako kwa ndugu Lissu.
 
Nani aliyemtelekeza mwenzie?

Mkuu uzi wa reference niliokupa una maelezo ya nani kamtekeleza mwenzake.

Sasa unaponiuliza maswali ambayo yako wazi kwenye sehemu niliyokupa tunakuwa hatupigi hatua mbele.

Tafadhali rejea kwenye reference ile wametajwa.
 
Lissu anapendwa aisee!! Upendo wa waTz kwa Lissu ni ule wa kutoka rohoni na sio wa kinafiki.

Nilikua Bar nakunywa divai huku nacheki taarifa ya habari kutoka ITV.

Habari zote zilizokua zinatangazwa raia walikua wanazichukulia poa tu hata ile ya kifo cha Rais wa awamu ya tatu.

Watu wengi waliokuepo ndani ya bar walikua busy na mambo yao ila baada ya presenter kutangaza habari ya ujio wa TL watu wakaripuka kwa shangwe, ukumbi ukajaa ghafla. Watu walionekana kua na attention kubwa sana ya kusikiliza habari ya ujio wa Lissu.

Kilichonishangaza ni umati huo mkubwa wa watu kutawanyika na kila mtu kuendelea na business zake baada ya taarifa ya TL kumalizika.

Kiukweli hii imenifikirisha sana.

Nilichojifunza ni kua mapenzi ya waTz kwa TL hayazuiliki hata kwa kuminya demokrasia kwa miaka 5.
 

Mkuu usitumie nguvu kubwa kumuelimisha buku7, ukute hata clip hajaiskiliza ila kakurupuka tu juu juu.
 
Mpendwa wetu Mh.Mkapa alikuwa Rais wetu watanzania wote ila alietoka chama cha ccm! UNGEKUWA UMESOMA HESABU ZA LOGIC UNGEMUELEWA LIUSSU
 
Your browser is not able to display this video.










Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • CHADEMA-Tanzania_20200727_3.mp4
    2.1 MB
Wewe ni muongo sana, amesema huu ni wa watanzania wote na si wa JPM peke yake hivyo panapo majaaliwa kesho tutaenda na sisi kumuaga
 

Umeshajua ni kwanini akimtaja Rais Dr. JPM huwa anakuwa na Hasira? Je, Serikali ya Magufuli hadi hivi leo imeshawataja wale Waliotaka Kumuua?
 
Pumba tupu leo hakuna cha maana, ngojeni kuangukia pua. ''Samaki mkunje angali mbichi.''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…