Wewe sio riziki
 
Uache upotoshaji! Ulivyomnukuu sivyo alivyosema!
Wenye roho za korosho mtajinyonga safari hii!
 
Ni msiba wa ccm na vibaraka vyao. Maana marehemu alihusika kwa kiasi kikubwa kukandamiza democrasia. Hongera CORONA
 
Sio Lissu pekee, hata mimi msiba haunihusu.
Amekuwa Rais kwa sababu chaguzi zinafanywa katika mazingira ya ccm lazima itangaziwe ndio mshindi.
 
Safari hii nani anataka kuwatuma kuja KUDHULUMU Raia wema haki zao za kuishi? Kule Pemba "Marehemu" alihusika kwa 100%, na kwa kweli leo hii Wapemba wote WANASHEREHEKEA kufuatia kifo cha ghafla cha MFITINI WAO huyo.

Umenikumbusha mabomu ya Mwembechai, hivi si alikuwa huyu huyu?
 
coco pole

kacheki pressure

au kunywa maji mengi

Kisa!!!.. nyinyi musiwo na maisha nje ya humu.. ndio munapigwa moyo na maneno munasoma.. pokea zaidi πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰. nenda ona dokta kwa BP yakwo..
 

Alisema mwenyekiti wao kwa miaka kumi sio Rais wao
 
Mataga wamepigwa sindano ya ganzi baada ya watu wengi sana kujitokeza kumpokea mh Lissu.

Waliamini kabisa kuwa watu watakataa kwenda maana maccm wanajidanganya kuwa cdm imekufa.
Wamekufa wao kwa CORONA na wanaendelea kuambukizana. manina watajua tu kuwa hawajui. Wametumia pesa nyingi kulanghai umma kuwa CDM imekufa kumbe wamekufa wao kwa CORONA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…