Umelia peke yako, na tuonyeshe hizo picha za watanzania wakilia!!
 
Hutaki kunywa sumu tu
Yaani sisi tuko Uwanja wa Taifa, tunaomboleza, alafu wengine wanasherehekea kumpokea Lissu, hii sio sawa, CDM wanaharibu msiba wa Taifa kabisa, i wish i could be IGP.. [emoji28][emoji28][emoji28] ingekuwa story nyingine saa hz..[emoji28]
 
Angalau umekiri kuna nyomi, wenzako walikuwa wanasema Chadema huwa wanaandamana mitandaoni tu.
Hiyo ni nyomi ya kawaida sana kwa standard za Tanzania.

Kero ndio watu awataki hope huo umati amtarajii muende nao mpaka mjini halafu naona kuna mtu alikuwa kapanda juu airport anahutubia sijui ana hamasisha nini mjue tu mkisimama barabarani na kufanya ivyo hakuna wakumlaumu jamaa wakichoka kuwavumilia.
 
Maskini unatia huruma kwa kujibalaguza Kama kahaba aliyekosa hela

Tuneno mulibupanga.. bubuandike.. mumeshushuka.. unakuhishia kuandika kumufano wa kukwenu unakuishi.. lia tuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Na hiko ndicho kinachomuuma Meko yaani watu ni sawa Ila sio kwa wingi huu halafu na bado walionywa

Corona imepungua, ila hawa CDM supporters wengi hivi si wanaweza ongeza kasi kubwa ya maambukizi, nadhani mashtaka yatajengwa on that basis.. πŸ˜…πŸ˜…
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…