Civilized ndivo ufanya hivi, wanazidiwa hata na polisi wa Malawi,acha watu wadai haki zao wakimaliza wanarudi kwao wanalala kwwnn kupigana mabomu.
Kama umewatendea mema watu kwann uogope watu
Ndio hapo sasa.
 
Angalizo Kwako ni mapema mno kuanza Kumsifia hivi RC mpya wa DSM wakati hata Wiki Mbili tu hana. Na anaweza kuja kuwa Mbaya kuliko Yule.
Labda abadilishwe mind set ila ameanza vizuri sana. Nadhani wanaccm kuna funzo kubwa wanapitia hasa ikionekana kuwa wafuasi kindakindaki wa Magufuli na waliounga mkono juhudi walivyobwagwa. Wameanza kujitambua kuwa sivyo wanavyowaza!

Ona leo pamoja na polisi kutoa vitisho ila bado watu wamekomaa tena kwa zaidi na hakuna media yoyote iliyotangaza ujio wa Lissu. Bado huyu RC kwangu ameanza vizuri!
 
Sasa mkuu kama walikuwa ni wahuni wazembe kama ulivyowaita serikali ambayo kikatiba ni jukumu lake kulinda raia, walifanyaje? Ili kujiondoa kwenye doa hilo?!! Na pale vyombo vya kimataifa vilipotaka kutoa msaada, mbona walikatazwa??

Ila kwa busara waliyotumia leo wanahitaji pongezi, kwani ingeleta labsha ambazo si za lazima!! Japo nimeona tarehe 30.7 kuna kesi yake itasomwa kisutu, ngoja tuone, kwani sads dunia nzima wanafuatilia. NADHANI KWA SASA, itumike busara zaidi kuliko, mihemko, na kesho sasa atakapoenda kumuaga mkapa taifa!!!! Sijui
 
Chamellion

Jr[emoji769]
 
Lissu mwenyewe huenda hata hawezi kushinda uchaguzi ni woga tu wa jpm
 
Karibu nyumbani Rais wa Jamhuri yetu Sisi MALOFA ya Tanzania. tunafurahi sana MALOFA kukuona mkombozi wetu upo hai.
#LISSURAIS2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…