Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Angalizo Kwako ni mapema mno kuanza Kumsifia hivi RC mpya wa DSM wakati hata Wiki Mbili tu hana. Na anaweza kuja kuwa Mbaya kuliko Yule.
Labda abadilishwe mind set ila ameanza vizuri sana. Nadhani wanaccm kuna funzo kubwa wanapitia hasa ikionekana kuwa wafuasi kindakindaki wa Magufuli na waliounga mkono juhudi walivyobwagwa. Wameanza kujitambua kuwa sivyo wanavyowaza!

Ona leo pamoja na polisi kutoa vitisho ila bado watu wamekomaa tena kwa zaidi na hakuna media yoyote iliyotangaza ujio wa Lissu. Bado huyu RC kwangu ameanza vizuri!
 
Watanzania huwa ushabiki mwingi tu ka wa Simba na Yanga watu wakitoka wanatulia majumbani, nidhamu ka hii imgetumika hivi ungekuta Tundu lissu hajapigwa risasi nyingi na image ya nchi isinge chafuka hvo Hadi kukosa misaada kizembe, itakuwa tu ni wahuni wachache wasio wazoefu walipanga Hilo shambulio la ajabu kwa nchi yetu
Sasa mkuu kama walikuwa ni wahuni wazembe kama ulivyowaita serikali ambayo kikatiba ni jukumu lake kulinda raia, walifanyaje? Ili kujiondoa kwenye doa hilo?!! Na pale vyombo vya kimataifa vilipotaka kutoa msaada, mbona walikatazwa??

Ila kwa busara waliyotumia leo wanahitaji pongezi, kwani ingeleta labsha ambazo si za lazima!! Japo nimeona tarehe 30.7 kuna kesi yake itasomwa kisutu, ngoja tuone, kwani sads dunia nzima wanafuatilia. NADHANI KWA SASA, itumike busara zaidi kuliko, mihemko, na kesho sasa atakapoenda kumuaga mkapa taifa!!!! Sijui
 
Namtakia Lisu usingizi mwema akisubiri kura za Nani wa kupeperusha bendera ya uraisi Chadema Kati yake na wagombea wengine

Nimeiona Demokrasia kamati kuu chadema Nina imani na baraza kuu watawapa Haki yao Lisu na Nyalandu na yule mama na Baada ya kura asiwepo w kupiga yowe Ohhh Mimi nimeonewa

Chadema nawakubali kwenye kura za mgombea Uraisi mko fair pamoja na kuwa siipendi Chadema mumeiachia demokrasia ichukue mkondo wake kamati kuu mkiiga CCM chama changu huko Kwingine naamini mtaachia demokrasia ifanye kazi
Chamellion

Jr[emoji769]
 
Sasa mkuu kama walikuwa ni wahuni wazembe kama ulivyowaita serikali ambayo kikatiba ni jukumu lake kulinda raia, walifanyaje? Ili kujiondoa kwenye doa hilo?!! Na pale vyombo vya kimataifa vilipotaka kutoa msaada, mbona walikatazwa?? Ila kwa busara waliyotumia leo wanahitaji pongezi, kwani ingeleta labsha ambazo si za lazima!! Japo nimeona tarehe 30.7 kuna kesi yake itasomwa kisutu, ngoja tuone, kwani sads dunia nzima wanafuatilia. NADHANI KWA SASA, itumike busara zaidi kuliko, mihemko, na kesho sasa atakapoenda kumuaga mkapa taifa!!!! Sijui
Lissu mwenyewe huenda hata hawezi kushinda uchaguzi ni woga tu wa jpm
 
Mpaka sasa uzi umepitiwa na watu 70,000+. Inawezekana katika hao Mzee Baba nae katupiamo kajicho kidogo.
Screenshot_20200727_163604.jpg
 
Karibu nyumbani Rais wa Jamhuri yetu Sisi MALOFA ya Tanzania. tunafurahi sana MALOFA kukuona mkombozi wetu upo hai.
#LISSURAIS2020
 
Back
Top Bottom