Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Hata mimi Kim Jong Un nanyoa kiduku ... Karibu Sana Pyongyang, North Korea.Ila kwa nini anapenda kunyoa kiduku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi Kim Jong Un nanyoa kiduku ... Karibu Sana Pyongyang, North Korea.Ila kwa nini anapenda kunyoa kiduku?
Mimi siyo polisi. Sikamatagi makamanda.leo kazi yenu ngumu sana, mlisema akirudi mtamkamata airport, mkatahadharisha tusije kumpokea, loh poleni sana n.g.u.r.u.we wa lumumba
Ndio hapo sasa.Civilized ndivo ufanya hivi, wanazidiwa hata na polisi wa Malawi,acha watu wadai haki zao wakimaliza wanarudi kwao wanalala kwwnn kupigana mabomu.
Kama umewatendea mema watu kwann uogope watu
Nyomi la kufa mtu mpaka akina Lizaboni wameingia mtini .... CDM wajanja sana. CCM walikuwa wanacheck upepo saa mbil, tatu asubuhi wakafikiri hatokei mtu .... mara pwa watu wakafurika saa sita.Naona hewa chafu inakutoka bila kujijua... LUMUMBA SOOMA HIYOOOO. View attachment 1518599
ni chama cha kawaida tu chenye wasaka tonge lukukiCCM bila police ni TLP kabisa
Labda abadilishwe mind set ila ameanza vizuri sana. Nadhani wanaccm kuna funzo kubwa wanapitia hasa ikionekana kuwa wafuasi kindakindaki wa Magufuli na waliounga mkono juhudi walivyobwagwa. Wameanza kujitambua kuwa sivyo wanavyowaza!Angalizo Kwako ni mapema mno kuanza Kumsifia hivi RC mpya wa DSM wakati hata Wiki Mbili tu hana. Na anaweza kuja kuwa Mbaya kuliko Yule.
Ndio Sasa maturity walioonyesha leo waendelee nayo Hadi uchaguzi uwe na amani sio kutumia nguvu hovyoCivilized ndivo ufanya hivi, wanazidiwa hata na polisi wa Malawi,acha watu wadai haki zao wakimaliza wanarudi kwao wanalala kwwnn kupigana mabomu.
Kama umewatendea mema watu kwann uogope watu
Sasa mkuu kama walikuwa ni wahuni wazembe kama ulivyowaita serikali ambayo kikatiba ni jukumu lake kulinda raia, walifanyaje? Ili kujiondoa kwenye doa hilo?!! Na pale vyombo vya kimataifa vilipotaka kutoa msaada, mbona walikatazwa??Watanzania huwa ushabiki mwingi tu ka wa Simba na Yanga watu wakitoka wanatulia majumbani, nidhamu ka hii imgetumika hivi ungekuta Tundu lissu hajapigwa risasi nyingi na image ya nchi isinge chafuka hvo Hadi kukosa misaada kizembe, itakuwa tu ni wahuni wachache wasio wazoefu walipanga Hilo shambulio la ajabu kwa nchi yetu
😅😅jamaa una dharau.CCM bila police ni TLP kabisa
Mabeberu yanataka yalipotiwe yale waliyokuwa wamepanga, sasa kilanga kimewashuka shuuuNAONA VYOMBO VYA NJE LEO VIKO BUSY
Nadhani yatakuwa maagizo ya mkuu mpya wa mkoa wa Dsm.
the day is still virgin.NAONA VYOMBO VYA NJE LEO VIKO BUSY
ChamellionNamtakia Lisu usingizi mwema akisubiri kura za Nani wa kupeperusha bendera ya uraisi Chadema Kati yake na wagombea wengine
Nimeiona Demokrasia kamati kuu chadema Nina imani na baraza kuu watawapa Haki yao Lisu na Nyalandu na yule mama na Baada ya kura asiwepo w kupiga yowe Ohhh Mimi nimeonewa
Chadema nawakubali kwenye kura za mgombea Uraisi mko fair pamoja na kuwa siipendi Chadema mumeiachia demokrasia ichukue mkondo wake kamati kuu mkiiga CCM chama changu huko Kwingine naamini mtaachia demokrasia ifanye kazi
Lissu mwenyewe huenda hata hawezi kushinda uchaguzi ni woga tu wa jpmSasa mkuu kama walikuwa ni wahuni wazembe kama ulivyowaita serikali ambayo kikatiba ni jukumu lake kulinda raia, walifanyaje? Ili kujiondoa kwenye doa hilo?!! Na pale vyombo vya kimataifa vilipotaka kutoa msaada, mbona walikatazwa?? Ila kwa busara waliyotumia leo wanahitaji pongezi, kwani ingeleta labsha ambazo si za lazima!! Japo nimeona tarehe 30.7 kuna kesi yake itasomwa kisutu, ngoja tuone, kwani sads dunia nzima wanafuatilia. NADHANI KWA SASA, itumike busara zaidi kuliko, mihemko, na kesho sasa atakapoenda kumuaga mkapa taifa!!!! Sijui
Kwakweli pamoja na maendeleo kedelede yaliyoletwa na CCM jamaa bdo katishaHuyu mtu ana nyota kali,shinda ile ya Lowassa 2015,time will tell
Kumbe mnajua kuwa hawezi eeh?Lissu mwenyewe huenda hata hawezi kushinda uchaguzi ni woga tu wa jpm
Polisi mbona wako poa. Leo nitakuwa Polisi Messi hapa Ukonga. Nina kama Laki mbili hivi hazina kazi. Nitaenda kutoa moja baridi moja moto pale. Furaha yangu haiwezi kwenda hivi hivi bila kuwapongeza.Siamini kama ni Tz
Kumbe polisi huwa twawalaumu bure