GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Labda abadilishwe mind set ila ameanza vizuri sana. Nadhani wanaccm kuna funzo kubwa wanapitia hasa ikionekana kuwa wafuasi kindakindaki wa Magufuli na waliounga mkono juhudi walivyobwagwa. Wameanza kujitambua kuwa sivyo wanavyowaza! Ona leo pamoja na polisi kutoa vitisho ila bado watu wamekomaa tena kwa zaidi na hakuna media yoyote iliyotangaza ujio wa Lissu. Bado huyu RC kwangu ameanza vizuri!
Ndio nasema maybe Kuna wahuni ndani ya ccm Kama hao watu wasiojulikana waliokuwa wanapoteza watu Mara wengine kukutwa kwenye viroba, ndio genge Kama Hilo mbona baada ya yule kutolewa hzo Mambo zikakoma ghafla za watu kutekwa na wasio julikana?Sasa mkuu kama walikuwa ni wahuni wazembe kama ulivyowaita serikali ambayo kikatiba ni jukumu lake kulinda raia, walifanyaje? Ili kujiondoa kwenye doa hilo?!! Na pale vyombo vya kimataifa vilipotaka kutoa msaada, mbona walikatazwa?? Ila kwa busara waliyotumia leo wanahitaji pongezi, kwani ingeleta labsha ambazo si za lazima!! Japo nimeona tarehe 30.7 kuna kesi yake itasomwa kisutu, ngoja tuone, kwani sads dunia nzima wanafuatilia. NADHANI KWA SASA, itumike busara zaidi kuliko, mihemko, na kesho sasa atakapoenda kumuaga mkapa taifa!!!! Sijui
Unaokoteza tu Ujinga, kama Corona hakuna msiba wa Uwanja wa Uhuru mmeutoa wapi?Tundu Lisu aidhihirishia dunia kuwa atokako Ndio Kuna Corona Tanzania haina Corona kashuka kavaa Barakoa wanaompokea hawana Barakoa Asante Tundu Lisu kuitangaza Tanzania as a Corona free Country Duniani
Mbona unatukana sasa. Hiyo Hasira inatokana na nini Nyaningabu?Kumbe mnajua kuwa hawezi eeh?
Bow down bitches 🤣🤣
Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona ni nini?Poleni kwa misiba. Nimefurahi pia kusikia hamjaathirika na hiyo Corona!
Wacha wee. Inamaana hata wao wameshamga kuona mbona Raia watulivu tu??Leo nkmeshangaa pale airport askari polisi wanaitukana ccm
Mbona hamna tusi hapo we kamanda!Mbona unatukana sasa. Hiyo Hasira inatokana na nini Nyaningabu?
Huu uzi umejaa watu wa kaunda suti hatareeee😀😵Mpaka sasa uzi umepitiwa na watu 70,000+. Inawezekana katika hao Mzee Baba nae katupiamo kajicho kidogo. View attachment 1518608
Tatizo lao wafuasi wa CDM ni kama kuku wakienyeji awafugiki hata wakipewa utaratibu lazima waruke upande wa pili kuzuia shughuli za wengine; polisi leo naona walijipanga kutokutoa kiki kwa sababu zozote.Nadhani ndo maana ya kutoa taarifa mapema ili wahusika waweze kufanya plan mapema kwa usumbufu wowote unaoweza kujitokeza.
Vigezo ninavyo. Ila nipe vigezo unavyo vihitaji ili twende sawaInategemea,je vigezo utakuwa navyo?
Wivu tuu unakutesa, kwenye malori huwa mnalipwa sh?Bodaboda wamekodiwa wamelipwa Chao Kama kipindi Cha Lowasa . Hongereni Bodaboda kwa kupiga pesa za uhakika Leo
Ukiwa nje ya nchi na ukipanda flight kuvaa barakoa ni Jambo la lazima hutaki Baki hata mashirika ya nje bila barakoa huiingii nayo ofisini.Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona Ni Nini?
Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN,BBC, Aluazeera,DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
Hahaa hiyo lugha yenu ya huko USA sisi hatuzijui. Anyway leo nina furaha sana. Huenda leo nikasababisha ma Mimba kwa mke wangu. Jina lake lazima aitwe Lissu.Mbona hamna tusi hapo we kamanda!
Yaani nikibadili lugha kidogo tu nakupoteza kiasi hicho?
Typical kamanda.
Hahahaaa hawajielewi hao.Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona Ni Nini?
Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN,BBC, Aluazeera,DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
Usichokipenda lazima kikuchoshe.Tatizo lao wafuasi wa CDM ni kama kuku wakienyeji awafugiki hata wakipewa utaratibu lazima waruke upande wa pili kuzuia shughuli za wengine; polisi leo naona walijipanga kutokutoa kiki kwa sababu zozote.
Baada ya leo sijui ana kitu gani kingine cha kuwapa watanzania zaidi ya ile story yake ambayo kama vile inaanza kuchosha kuisikiliza.
Kuna wageni huwezi kuanika uchafu wako nje nje.Nadhani yatakuwa maagizo ya mkuu mpya wa mkoa wa Dsm.