GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Labda abadilishwe mind set ila ameanza vizuri sana. Nadhani wanaccm kuna funzo kubwa wanapitia hasa ikionekana kuwa wafuasi kindakindaki wa Magufuli na waliounga mkono juhudi walivyobwagwa. Wameanza kujitambua kuwa sivyo wanavyowaza! Ona leo pamoja na polisi kutoa vitisho ila bado watu wamekomaa tena kwa zaidi na hakuna media yoyote iliyotangaza ujio wa Lissu. Bado huyu RC kwangu ameanza vizuri!
Kwakuwa alikuwa ni RAS wa aliyeondoka / aliyeondolewa Mimi binafsi nitakuwa wa Mwisho Kumuamini japo najua kwa sasa anajikosha tu Kwetu.