Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Labda abadilishwe mind set ila ameanza vizuri sana. Nadhani wanaccm kuna funzo kubwa wanapitia hasa ikionekana kuwa wafuasi kindakindaki wa Magufuli na waliounga mkono juhudi walivyobwagwa. Wameanza kujitambua kuwa sivyo wanavyowaza! Ona leo pamoja na polisi kutoa vitisho ila bado watu wamekomaa tena kwa zaidi na hakuna media yoyote iliyotangaza ujio wa Lissu. Bado huyu RC kwangu ameanza vizuri!

Kwakuwa alikuwa ni RAS wa aliyeondoka / aliyeondolewa Mimi binafsi nitakuwa wa Mwisho Kumuamini japo najua kwa sasa anajikosha tu Kwetu.
 
Sasa mkuu kama walikuwa ni wahuni wazembe kama ulivyowaita serikali ambayo kikatiba ni jukumu lake kulinda raia, walifanyaje? Ili kujiondoa kwenye doa hilo?!! Na pale vyombo vya kimataifa vilipotaka kutoa msaada, mbona walikatazwa?? Ila kwa busara waliyotumia leo wanahitaji pongezi, kwani ingeleta labsha ambazo si za lazima!! Japo nimeona tarehe 30.7 kuna kesi yake itasomwa kisutu, ngoja tuone, kwani sads dunia nzima wanafuatilia. NADHANI KWA SASA, itumike busara zaidi kuliko, mihemko, na kesho sasa atakapoenda kumuaga mkapa taifa!!!! Sijui
Ndio nasema maybe Kuna wahuni ndani ya ccm Kama hao watu wasiojulikana waliokuwa wanapoteza watu Mara wengine kukutwa kwenye viroba, ndio genge Kama Hilo mbona baada ya yule kutolewa hzo Mambo zikakoma ghafla za watu kutekwa na wasio julikana?
Yote kwa yote geshi letu limejitahidi Sana leo
 
Tundu Lisu aidhihirishia dunia kuwa atokako Ndio Kuna Corona Tanzania haina Corona kashuka kavaa Barakoa wanaompokea hawana Barakoa Asante Tundu Lisu kuitangaza Tanzania as a Corona free Country Duniani
Unaokoteza tu Ujinga, kama Corona hakuna msiba wa Uwanja wa Uhuru mmeutoa wapi?
 
Poleni kwa misiba. Nimefurahi pia kusikia hamjaathirika na hiyo Corona!
Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona ni nini?

Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN, BBC, Aluazeera, DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
 
Nadhani ndo maana ya kutoa taarifa mapema ili wahusika waweze kufanya plan mapema kwa usumbufu wowote unaoweza kujitokeza.
Tatizo lao wafuasi wa CDM ni kama kuku wakienyeji awafugiki hata wakipewa utaratibu lazima waruke upande wa pili kuzuia shughuli za wengine; polisi leo naona walijipanga kutokutoa kiki kwa sababu zozote.

Baada ya leo sijui ana kitu gani kingine cha kuwapa watanzania zaidi ya ile story yake ambayo kama vile inaanza kuchosha kuisikiliza.
 
Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona Ni Nini?

Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN,BBC, Aluazeera,DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
Ukiwa nje ya nchi na ukipanda flight kuvaa barakoa ni Jambo la lazima hutaki Baki hata mashirika ya nje bila barakoa huiingii nayo ofisini.
 
Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona Ni Nini?

Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN,BBC, Aluazeera,DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
Hahahaaa hawajielewi hao.

Mara wajifungie ndani wakiogopa corona, leo wako nje hata barakoa hawajavaa
 
Tatizo lao wafuasi wa CDM ni kama kuku wakienyeji awafugiki hata wakipewa utaratibu lazima waruke upande wa pili kuzuia shughuli za wengine; polisi leo naona walijipanga kutokutoa kiki kwa sababu zozote.

Baada ya leo sijui ana kitu gani kingine cha kuwapa watanzania zaidi ya ile story yake ambayo kama vile inaanza kuchosha kuisikiliza.
Usichokipenda lazima kikuchoshe.
 
Back
Top Bottom