Tatizo Chadema huwa hamfuatilii maagizo ya serikali Rais katangaza tangu siku anazindua jengo last tume ya uchaguzi kuwa mikutano na mikusanyiko ya kisiasa RUKSA. CHADEMA SHEEEDA
 
Tunataka report ya uchunguzi sio kujitetea kwenye mitandao,
 
Kumbe mnajua kuwa hawezi eeh?

Bow down bitches [emoji1787][emoji1787]
Ukiangalia ule umati wa watu unajiuliza ikiwa barua za kuomba kibali zingekubaliwa Daresalam leo ingekuwaje.!
Ni wengi hawajafika kumpokea lissu kutokana na uoga wao.
Kinachosikitisha ni kuwa kumbe ni watanzania wengi sana wanaugulia maumivu moyoni.
Tulizoea kusema wanaoumia ni wale waliokuwa mafisadi enzi zile, lakini umri ulioonekana kwenye video mbalimbali za mapokezi ya lissu ni umri wa vijana ambao nadhani wengi wao hata hawajawahi kuwa kwenye ajira rasmi.- hii ni moja ya ajenda inayotakiwa kupewa kipaumbele na uongozi wa vyama vyote.
 
Nabii Lissu ana maono ambayo wengine wote hawaoni... aliona viashiria vyote vya udikteta akasema huyu jamaa ni dikteta uchwara......

Bahati mbaya sn anarudi huku jamaa akiwa dikteta kamili kuanzia kwenye chama chake mpaka kwenye mihimili yote ya dola imewekwa kiganjani mwake......

TUNDU Lissu ndiye pekee wa kurejesha misingi imara ya taifa. Aanze na kufumgua kesi ya kikatiba kufutwa kwa maamuzi ya kuruhusu baadhi ya watz kupewa ruhusa kisheria kuvunja katiba ya nchi bila kushitakiwa....
 
Uwepo wa Boda boda wengi ni kiashiria tosha kua

MBWA WA CCM wamelisahau hili kundi muhimu.
 
Sio tatizo lake, tatizo kichwani kuna Mavi
 
Mbona kumuaga Mkapa uwanja wa Uhuru kuna watu wanavaa barakoa na wao wemetoka Belgium 🇧🇪
 
Huyu musiba ndio maana wajumbe walimkata anataka kuwa kiongozi huku Hana uvumilivu wa different opinions?
 
Hahahaaaaa

Magufuli oyeeeee

Mbele ya Magufuli hata corona imecheua.
Naona kwa huruma unajifariji baada ya kushtushwa isivyo kawaida na mapokezi ya Lissu.
Polee sana kijana. Mwisho wenu ndo umekaribia, uliacha ukweli ukafuta ukabila sasa kwa taarifa yako leo mlichokiona ni kidogo sana, October yaliyotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania.
 
Hahahaaa hawajielewi hao.

Mara wajifungie ndani wakiogopa corona, leo wako nje hata barakoa hawajavaa
huku watu wanakufa kwa corona wanapachikwa ugonjwa mwingine, mala utasikia moyo.........
 
Jipe moyo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…