Nyie watu embu acheni masihara, mtu uliyemmiminia risasi 38 za kuulia nyati na kudhani umemuuwa halafu siku unakutana nae ni mzima wa afya , inahitaji ujasiri wa ziada kupanga tukio kama hilo kumdhuru

Hata aliyefyatua zile risasi sidhani kama bado tupo nae duniani
 
HUYU JAMAA NI WA KUPUUZA! Ningeshangaa kama wazee wa kufanya yao A.K.A "WAJUMBE" kule Mwibara wangempitisha
 
No wonder hata CCM ameambulia 0 ... Huyu Msiba akili hana halafu roho kapata ya shetani....!!
 
Pointi yako ni nini??
 
Tatizo Chadema huwa hamfuatilii maagizo ya serikali Rais katangaza tangu siku anazindua jengo last tume ya uchaguzi kuwa mikutano na mikusanyiko ya kisiasa RUKSA. CHADEMA SHEEEDA
Kwa hiyo msemaji wa polisi alikuwa anapingana na Magufuli?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Karibu Lissu. Tanzania inazidi kustawi mbali na wewe mwenyewe kuinenea mabaya hapo kabla. Umejionea mabadiliko. Tanzania tunasonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…