Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Naona mnajifariji, if you a man stand on nail.Bila shaka BBC, Aljazeera, CNN, VOA na vyombo vingine vya kimataifa vitakuwepo hapo uwanjani.
Makamanda katika picha wakielekea airport:
View attachment 1518252
Nyie wanaCCM wenzake ama kweli nyie ndio mazuzu, si munyamaze mpaka dakika ya mwisho. Oo hakuna watu , ooo waoga, si mnawati mori wajitokeze.Ha ha ha Wamekuja kistaarabu km wanandugu wanavyopokea mwanafamilia TU...
Ile Mikwara Yao Kuwa WATAJAZANA wala Haipo looh makomandoo wa JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Mimi nina shughuli zangu bana, siwafuati nyinyi, wewe mbona umevaa magwanda yako nani ameku discribe?Nitoe angalizo kwa wewe mhuni mmoja wa lumumba mwenye jeans ya dark blue na tisheti nyeusi cape ya Nike ya khaki na raba nyeusi, kama upo humu jf uache kutufuata fuata nyuma, alokutuma mwambie sisi level nyingine, tusije kuondoka nawewe tukaenda kukunywa supu Mivumoni, tumekuja kumpokea Lissu, ninyi ndo mtaleta vurugu,
#Barret M82 in the trunk#
Wewe unafanya nini hapa kama upo Dar!Ndo nitatarajia mamia ya watu wakimpokea!kinyume na hapo ndo nitaamini wengi humu huwa mnaongea tu nyuma ya keyboards
Ni kweli kabisa, ila mashabiki wake ni ukokaLissu jembe
Tulia sindano ikuingie vyema maungoni.Hahahaaa
Marofa mkikosa majibu mnajifaliji kwa upumbavu wa aina hii.
Nyuma ya keyboard mume lewa, ila hapa uwanjani namuona Sugu na majeuri wanzake tu.Mbona Tupo hapa
Moyoni mwako unawajua wenyewe wahusikaNdio maana hawaonekani hapo.
Sio Mbowe wala Lema.
Duh hata Rubani ana pressure au anaogopa kutua, ndege inaweza vamiwa na washabikiArriving soon
View attachment 1518321