Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Kakundi kadogo kamekaa chini kwenye meza Tena kitulivu hasaaa😂😂 namuona Sugu anavyowachangamsha yaani Jamaa walipiga Sana Mikwara mimi nikadhani wanakuja kama ISIS kumbe raia wachumba tu😂😂😂😂😂
 
Nitoe angalizo kwa wewe mhuni mmoja wa lumumba mwenye jeans ya dark blue na tisheti nyeusi cape ya Nike ya khaki na raba nyeusi, kama upo humu jf uache kutufuata fuata nyuma, alokutuma mwambie sisi level nyingine, tusije kuondoka nawewe tukaenda kukunywa supu Mivumoni, tumekuja kumpokea Lissu, ninyi ndo mtaleta vurugu,

#Barret M82 in the trunk#
 
ZAB. 23:4
"Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji".

"Even though I walk through the darkest valley, I will fear no evil, for you are with me; your rod and your staff, they comfort me"
 
Ha ha ha Wamekuja kistaarabu km wanandugu wanavyopokea mwanafamilia TU...

Ile Mikwara Yao Kuwa WATAJAZANA wala Haipo looh makomandoo wa JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Nyie wanaCCM wenzake ama kweli nyie ndio mazuzu, si munyamaze mpaka dakika ya mwisho. Oo hakuna watu , ooo waoga, si mnawati mori wajitokeze.

Tuwawache na uoga wao Lissu aone anavyopenda kwa maneno matupu,
 
Ndo nitatarajia mamia ya watu wakimpokea!kinyume na hapo ndo nitaamini wengi humu huwa mnaongea tu nyuma ya keyboards
 
Nitoe angalizo kwa wewe mhuni mmoja wa lumumba mwenye jeans ya dark blue na tisheti nyeusi cape ya Nike ya khaki na raba nyeusi, kama upo humu jf uache kutufuata fuata nyuma, alokutuma mwambie sisi level nyingine, tusije kuondoka nawewe tukaenda kukunywa supu Mivumoni, tumekuja kumpokea Lissu, ninyi ndo mtaleta vurugu,

#Barret M82 in the trunk#
Mimi nina shughuli zangu bana, siwafuati nyinyi, wewe mbona umevaa magwanda yako nani ameku discribe?
 
Bavicha Waoga Sana....

Umbamwa Wenu Uko UFIPA na Mitandaoni😂😂

Airport Shwariiii.....hamko wengi ndani terminal 3 Wala pale Petrostation Wala barabarani karakata😂😂😂 mliwatisha WaTZ kumbe wenyewe WANAWALI....
 
Back
Top Bottom