Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache kidogo apunguze..anahitaji kuongea zaidi ili azidi kupata nafuu na afya ya kirohoMh tundu lisu dunia imeona ulichofanyiwa na ujio wako umewatia aibu watesi wako.
Mapokezi yako yawape heshima waliokuja kukulaki. Ili waiandike historia Yao ya mapenzi na amani kupitia wewe.
Tal the great
Huu ni zaidi ya ushauri.pia ashauriwe asitumie lugha kali za kupandisha hamasa za chuki, bali apambane na ccm kwa sera. Kuna sehemu nyingi sana za kuwazidi ccm, mfano huu rushwa ya juzi kwenye chaguzi zao, ajira, ugumu wa maisha wa wananchi, demokrasia nk. Ni vyema apange vizuri mashambulizi yake kisiasa,
Umeongea vyema sana,hapo kwenye matumizi ya lugha Kali ndo patamletea matatizo,sidhani kama watavumilia swala hilo.Ajifunze aina ya ukosoaji unaofanywa na Zitto.Lugha ngumu itamletea changamoto kubwa na mamlaka jambo ambalo halitakuwa na faida kwake.Halima amefanya vyema, si vibaya chama kikatoa shukran rasmi kwa jeshi la polisi, hata kama ni kwa kinafiki. Pia nashauri sana Tundu Lisu ashauriwe kutokwenda kesho msibani. Kwangu bado Lisu ana hasira na lile shambulio, kwa vyovyote atataka kuionyesha serikali na hasa rais Magufuli kuwa amepona. Na mashabiki wake wanaweza kuonyesha furaha iliyopitiliza ambayo itaipa serekali kuchukua maamuzi hasi.
Kwakuwa wamemstahi leo, ni vyema angeachana na huo msiba, kuna nafasi kubwa ya kushindana na ccm. Na kama itawezekana kuanzia sasa Lisu pia ashauriwe asitumie lugha kali za kupandisha hamasa za chuki, bali apambane na ccm kwa sera. Kuna sehemu nyingi sana za kuwazidi ccm, mfano huu rushwa ya juzi kwenye chaguzi zao, ajira, ugumu wa maisha wa wananchi, demokrasia nk. Ni vyema apange vizuri mashambulizi yake kisiasa, kuliko kuonekana anambana na mtu binafsi, kwa ajili ya shambulizi binafsi.
Nguruwe wa Lumumba mnateseka sana na LissuLisu asifikiri tumemuogopa, tunamlia "timing" tu
Hujui Nguvu za Mungu zinavyofanya kazi katika kusamehe na kukaa kimya!Hivi wewe unayetoa huu ushauri kwa TL ulishawahi hata kujeruhiwa kwa kisu na vibaka ukatoroka? Unaelewa nini kuhusu risasi kupita mwilini? Unajua nini kuhusu kuwa katika coma kwa masaa 6?
Kama hujui jibu la moja wapo ya maswali hayo basi funga kopo lako kalale. Ushauri huo kawape CCM waliotumwa na shetani kuondoa uhai wa Mtanzania mwenzao bila chembe ya huruma.
Haya ya CCM na serikali yake na viongozi wao kuwaonea CHADEMA wananchi wanayajua vyema sana.Msiba ni wa waTZ wote bila kujali hitikadi za vyama vyao, hivyo ni haki yake kwenda kumuaga kiongozi wake wa kitaifa. Hasa ukizingatia kwamba hakuna uhakika bado kwamba Lissu ataweza kwenda kwenye mazishi. Muacheni akatoe heshima zake za mwisho kama raia wengine. Hata waziri mkuu amekaribisha kila mtu mwenye kuweza kutoka kila kona ya nchi aende akaage mwili.
"rushwa, ajira, ugumu wa maisha wa wananchi, demokrasia nk."
Ndio anayo simamia Lissu siku zote, na ni mambo ambayo hayatakiwi kuchekewa. Ni lazima yazungumzwe kwa ukali kwa sababu ndio misingi mikuu ya taifa.
"Ni vyema apange vizuri mashambulizi yake kisiasa, kuliko kuonekana anambana na mtu binafsi, kwa ajili ya shambulizi binafsi."
Hapa kwenye shambulizi binafsi sijakuelewa vizuri. Kwa sababu (a) Lissu wakati anashambuliwa alikuwa mbunge wa bunge la JMT. Na bunge ndilo linalotunga/pitisha sheria ambazo viongozi wanazitumia kuiongoza nchi. Kumshambulia mmoja kati ya wabunge kwa namna alivyoshambuliwa Lissu ndio umeligusa bunge zima na serikali kwa ujumla. (b) Shambulio lile kuna kila dalili kwamba halikuwa la uporaji. (c) Mpaka sasa hivi vyombo vyenye mamlaka havija toa taarifa ya tukio lile.
Leo Viongozi wa chadema wakiongozwa na Mbowe wameonesha usaliti kwa mara nyingine. Awali walijiweka kama wanajali wananchi ila leo wamekuwa tayari kuangamiza watanzania kisa Lissu.
Walijivika joho la WHO huku wakihubiri Sera za kubaki ndani maarufu kama Karantini kumbe ni unafiki mkubwa.
Tuwapime, tuwashangae, tuwakatae.
Huyu jamaa mnafiki sana. Wakati huo huo muda huu a msiba wa Mkapa anapost tweeter watu walioenda kumpokea lissu MALOFA KTK UBORA WETU...if you read btn the line, unaoa kabisa she's nut...Asanteni sana @tanpol !!! Tunawapenda SANA!! SISI ni watu wema!!! Tanzania ni YETU SOTE. Tusiruhusu maslahi ya WATU wachache watuvurugie UPENDO wa ASILI wa TAIFA LETU-Halima Mdee
Wamekufa wao kwa CORONA na wanaendelea kuambukizana. manina watajua tu kuwa hawajui. Wametumia pesa nyingi kulanghai umma kuwa CDM imekufa kumbe wamekufa wao kwa CORONA.
Kafie mbele huko.Leo Viongozi wa chadema wakiongozwa na Mbowe wameonesha usaliti kwa mara nyingine. Awali walijiweka kama wanajali wananchi ila leo wamekuwa tayari kuangamiza watanzania kisa Lissu.
Walijivika joho la WHO huku wakihubiri Sera za kubaki ndani maarufu kama Karantini kumbe ni unafiki mkubwa.
Tuwapime, tuwashangae, tuwakatae.
Mange nenda Instagram na Facebook utamkuta leo katupia vitu vya kutisha sana
Naona katupia moja ya lisuu ya instagram. Ila kama wamemfosi hivi.
Michango ikipita muwe mnamkumbuka
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hayo ni maoni yako
Mkuu kwa mara ya kwanza Leo umeshauri vizuri!!
Unamshauri TL ambane na CCM kwa sera? Mbona hujaishauri CCM ifanye hivyo hivyo badala ya kupambana na Lissu na upinzani kwa risasi na mauaji?