The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Hali ni mbaya sana Tanga na dar es salaam yote, hata moshi wamerudi msimu huu wa sikukuu jamii kubwa ya hawa watu.Tanga najua tangu enzi za akina voice wonder kuwa alikuwa anapelekewa moto yule jamaa. Sasa Hadi Sasa wee unadhani Hali ikoje?