PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wasabato waendelee kufundisha Lishe,wabaguzi ukikaa karibu nao wanaona sabato ndio dini tu,wabishi kweli kweli sijui wangekuwa na uwezo mkubwa kiuchumi ingekuwaje.Ila bora wabaki hivyo hivyo
 
Je,hawaruhusiwi kutoa ushauri wanapoona mambo hayapo sawa kwani kiroho pia wana jicho la ziada?
je haki inapoharibika kwa waumini na wananchi hawaruhusiwi kusema. Mstari wa dini na siasa ni finyu sana. Hata kauli ya wasabato kutoa ushauri huo ni siasa.
 
je haki inapoharibika kwa waumini na wananchi hawaruhusiwi kusema. Mstari wa dini na siasa ni finyu sana. Hata kauli ya wasabato kutoa ushauri huo ni siasa.
Haipaswi kuwazuia wanaotoa maoni kusema,yeyote yule awe muumini,mwananchi au kionhozi wa dini yoyote ile anaruhusiwa kutoa maoni ili mradi havunji Sheria
 
wasabato na mashahidi wa yehova siku zote huwa wanasubiri watu wengine wawapiganie, chakula kikiwekwa mezani wa kwanza kula.
 
Viongozi wa madhehebu ya dini ya kikiristo wamekuwa ni deeply partisan and tribalistic, ni watu hatari kuliko wanasiasa, eti wao ndyo daraja la waumini kuiona pepo

Kina Desmond Tutu walipata Nobel Peace Prize kwa kupinga dhulma za watawala na kutetea watu

Ndicho wanachofanya Maaskofu na Mapadre wa Tanzania

Waliompa Askofu Tutu Nobel wajinga ?
 
Siku akitekwa mtu wa upande wao tutakuwepo hapa kuwakumbusha udhalimu hauna rangi wala dini.
 
Kina Desmond Tutu walipata Nobel Peace Prize kwa kupinga dhulma za watawala na kutetea watu

Ndicho wanachofanya Maaskofu na Mapadre wa Tanzania

Waliompa Askofu Tutu Nobel wajinga ?
😛 Tuzo ya Nobel alipata Tutu na Mandela, kwa sababu ya kupambana na kuumaliza utawala wa apartheid (ila mfumu wa apartheid bado upo kwa baadhi ya nyanja za kiuchumi), apartheid ni zaidi ya ushetani, infact even Satan hates apartheid.
Hakuna mwanasiasa aliyepata tuzo ya Nobel kwa sababu ya kupambana na serikali iliyoko madarakani kikatiba, hizo ni political dispute za kawaida tu, ambazo zinatatuliwa internally
 
Amani tunda la haki mdude akifa atakufa wako
Kwanza mwanasiasa yeyote akifa sina Cha kusikitika Wala kupoteza.

Pili huyo mwenye Kauli chafu na kudhalilisha wengine akifa sawa tuu
 
Mlianza wenyewe kuwaita Ikulu.
 
Bila shaka ujumbe wako umemlenga mwanaCCM Josephat Gwajima...
Wote hao,GwajiBoy hana tofauti na hao wa TEC anatumia jukwaa la dini kujinadi.

Ni vyema akaacha ni kosa la kimaadili na kimantiki.
 
(Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao. Rum 12:15)
Yaani wasabato ni kama wanashangilia msibani, wameshindwa kabisa kulia na wanaolia!
 
Wote hao,GwajiBoy hana tofauti na hao wa TEC anatumia jukwaa la dini kujinadi.

Ni vyema akaacha ni kosa la kimaadili na kimantiki.

Hao wengine sasa si huwa wanatoa mawaidha na maonyo tu wakiwa kama viongozi wa imani, na ndio maana hata kwenye sherehe za kiserikali hualikwa...

Hawajawahi kupanda majukwaa ya kisiasa na kupigia debe chama fulani...
 
Huyu mpumbavu anashangaa viongozi wa dini kugeuka wanasiasa na ashangai wanasiasa Saamia na genge lake kugeuka wahuni na majambazi na mafisadi na vibaraka wa mabeberu na waarabu. ashangai wanasiasa kugeuka maadui wa wananchi na ashangai wanasiasa kugeuka marafiki wa wasio wazalendo na maadui wa uzalendo.
 
Kuwazuia ndio kama alichofanyiwa Fr. Kitima ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…