Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

Uanaharakati wa Haki za binadamu Nchi hii ni kutetea Upinzani unless huwajui.
 
Makonda kasema Mwigulu Nchemba ndiye anayemlipa Mange Kimambi.

Unsmsingizia Madelu hana siasa za kishamba za kutukana wakubwa wake wa kazi madelu muoga muoga wakina january wanajifanya watoto wa mjini

Kina January hacheni kumtukana Raisi ni kweli tunajua uraisi unautaka afe kipa afe beki lakini wakati wako utafika
 
Tuliombee sana taifa letu..
Tuwaombee sana Viongozi
Wengi hawalitakii mema hili taifa
Utajiri uliotamalaki kila kona unawatoa mate wengi..

Vyombo vyetu mahsusi viangaze jicho la 7 juu ya yote yanayoendelea..Nadhani ni zaidi ya yanayoendelea..

Wenye kiu ya madaraka makubwa ktk nchi japo hawana Sifa/uwezo,Dhima nyoofu,Uzalendo,Uadirifu stahiki,Maono,Hekima na busara lakini wanapambana sana kushika hatamu Kwa udi na uvumba..

.Nadhani tunahitaji siasa safi ..Kwa wakati sahihi na namna sahihi..Tunahitaji Siasa zenye uwezo wa kuitoa nchi kwenye Lindi la umaskini na udumavu wa kimaendeleo na sio mashindano ya kuiba,Ubadhirifu,Ufisadi..Mbali ya siasa safi tunahitaji wanasiasa wasafi na wenye uwezo (Nia,matamanio,Ufahamu,Uthubutu,Utendaji,Elimu,Exposure)..

Wahuni,Wezi,Mafisadi,Wezi,Wajasiliamali wa kisiasa,Warithi Uongozi..Na wote wanaodhani wana hati miriki ya uongozi wa taifa Wakae ama kuwekwa pembeni na mfumo wa kizalendo..
 
Nimeona kule Instagram Hadi unaogopa aisee maana MANGE anadai kuwa ana video chafu ya MAZA .
MANGE mwenyewe anasema kuwa akiachia hii video nchi itatemeka na yeye atakuwa hatarini kufa
Bimaza walikua wanamfanya nini wakamrekodi na video huyo Mange ana nini lakini nasikia michezo hio walimfanyizia Baba yake wakamla kiboga
 
Hakuna mwanaharakati wa viongozi wa Serikali. Hao wana chawa wao kama wewe, kwanini wewe usipaze sauti yako publicly badala ya kuja JF?
 
Makonda ndiye kasema siyo mimi
 
Nimeona kule Instagram Hadi unaogopa aisee maana MANGE anadai kuwa ana video chafu ya MAZA .
MANGE mwenyewe anasema kuwa akiachia hii video nchi itatemeka na yeye atakuwa hatarini kufa
Mange anacheza na akili za wajinga kama wewe.

Mtu mwenye akili timamu huwezi kumsapoti kichaa kama Mange.

Issue ya Baba yake kuliwa nadhani ndio Kisasi chake ni Kwa kila mtu.

Hayuko Sawa kisaikolojia, Baba yake alimpenda Sana sasa kinachomtesa ni yalimtokea Mzee wake Kisasi analipa Kwa wengine wasiohusika na alichofanyiwa Baba yake.
 
Wewe ni Fala Tu umeona wapi nimesapoti?
Soma vizuri comment yangu
 
Ni wakati sasa wa intelligence kufanya kazi.
 
hawa wanaotetea mtu kutembea uchi wakemee hiki kinachoendelea kweli? Ili wanyimwe pesa na mabwenyenye? πŸ’

wale ni only money talks πŸ’
 
Mange ni balaa... Anarusha matusi kwelikweli..
Niliona Shilole akijaribu kujibu mapigo... Lakini wapiii..
Mange hajafanya vizuri kumkosea mama yetu heshima. Mama Samia Mungu akulinde akupe afya furaha na maisha marefu.

Huu urais unao ni zawadi kutoka kwa Mungu tena alifanya maksudi uwe rais ili ukombozi tuupate.
 
Hivi mtu akiwa nchi nyingine ni ngumu kumkamata aseee !! Mfano Mange angekua kwenye hizi nchi za Africa au Huko Latin America !! Marais wangeshapigiana simu kitambo sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtoto analetwa hapa mbichi kabisa magogoni !!

Kweli Marekani demokrasia ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…