Wakijimilikisha hata kinyume cha katiba ya sasa utafanya je?
Nenda mahakamani, nikwambie kitu master, Katiba hata ikiwa nzuri kiasi gani haiwezi kuwafanya watu wasio na maadili wawe na maadili.

Kuna watu kama Trump pamoja na kuwa Rais wa nchi yenye Katiba nzuri duniani lakini bado alikuwa anapuyanga puyanga tu.
 
Wahuni wale
 
Kwanini hao wanajeshi wasinge mtaarifu kuwa hapa haparuhusiwi kupiga picha?

Wao si ndiyo walio mtakatifu kuingia huko? Kwani yeye alikuwa na biashara huko?

Taratibu zao dogo ambaye hakuwa na ugeni huko angezijulia wapi?

PGO yao inasema je?
Amekosea kuchukua video eneo la usalama
 
Dogo mshamba sana awamu hii unaweza ukala shaba tu na ukazikwa bila kelele hata uende ukashtaki vipi. Utaunganishwa kwenye special task flani kesi iishe kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…