Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hao usalama inakuaje traffic case waipeleke ofisini kwao,polisi awakukuona au kama wasingekua na nia ovu na huyo kwanini wasingechukua namba ya gari na kukabidhi kwa trafiki polisi,hao walitaka kumuonyesha huyo dogo wao ni nani while hamna aliye juu ya sheria,mkishavaa hivyo vigwanda vyenu mnajiona mnaweza kufanya lolote na ndio maana wenzenu wananyea debe mtwara huko kwa ujinga kama huuUnarekodi maeneo ya Usalama?
Au hakujua kama hapo ni Usalama wa taifa?
Anyway alivyowaona hao wanajeshi kwanini asingezima kamera yake?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app