- Thread starter
- #281
Mbona vijana mnakuwa wapumbavu na wajinga kiasi hiki cha lami? Do we read kweli sheria?
Hivi unajuwa usalama wa Taifa nieneo hatari kurecord au kufanya chochote?
Unajuwa kwakufanya kosa hilo unaweza kupotea natusikuone mpaka kiama pasipo jali wewe ni mtoto wa nani?
Je unajuwa maeno kadhaa ktk jiji la dsm nihatari hata kupak gari nje?
Je unajuwa call zote na watu wanapita nje ya ofisi za usalama wa Taifa zinakuwa intercepted kutoka mbali sana?
Haya utampigia mjomba wako mbunge... Kwa ujinga na upumbavu wako.
Wapumbafu ni hao waliomteka nyara huyo dogo na kupotea naye kusikojulikana. Kwao hii ni marudio maana walifanya hivyo na Ben Sanane pia.
Vipi ndugu na Job Yustino Ndugai naye mko naye chobingo?