MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
TISS is a cluster of mindless drones.
Mishamba sana hii mijamaa......
Mishamba sana hii mijamaa......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani we hujui? Hiyo ni ngome ya watu wasiojulikana.Kwanza gari iliingizwa kwenye ngome ipi?
Angepigwa risasi na Kufa ungesaidia kuwafariji Wazazi wake pamoja na Ndugu, Jamaa na Marafiki?Ni aibu tu, alafu uuyo dogo nae asingesimama angesepa zake tu
Hao ndio wale waliokuwa wanatumiwa na Magufuli kufanya uharamia maeneo mbalimbali nchini.Hii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.
Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?
Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.
Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.
Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.
Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.
View attachment 2182358
Hivyo vitu vinahitaji akili kubwa , sio hao takataka wa uvccmccm ndio tatizo la nchi.leo usalama wa taifa anashindwa kudili na ujasusi wa nchi kuhusu uchumi,usalama wa biashara na mataifa anakwenda kudili na madereva [emoji23]
Hawana Shughuli za kufanya baada ya mwendazake kuondoka.kazi iliyokuwepo ni kudeal na wapinzani.Samia hataki kusumbuana na wapinzani kwa hiyo utaona hawana kazi yoyote hivyo kukaa idols siku nzima.Ndio wanatafutiza kazi za kujishikiza ili kumshtua mama kuwa nao wapo kazini.Hii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.
Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?
Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.
Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.
Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.
Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.
View attachment 2182358
Afrika tunayo nidhamu ya kutishana na kuitiana woga. Picha za aerial view mfano google maps ni hatarishi kiusalama zaidi hizo picha za simu ya mkononi. Some security precautions are simply outdated.View attachment 2182518ated
Waafrica bwana yaani kupiga picha au ku record of za usalama ni issue.
Hizo hapo ofisi za MI6 katika ya jiji busy road na kuna pedestrian pathway pembeni ya ukuta kabisa.
Mbele kuna mto, boat la watalii na mabasi ya watalii yakipita hapo tour guide wanawaambia kabisa ile pale ofisi ya MI6 jumlisha na daraja la train mbele.
Embu tuwe serious on what is national security.
Sasa kosa lililofanyika pale ni lipi?Sheria inakuruhusu hata wewe kufanya arresting linapotokea kosa
Umeambiwa ni wanajeshi hao?Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.
View attachment 2182373
Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?
Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
Nafikiri kuna zaidi ya hii story. Kama amechomekewa tu sioni kwa nini asimamishwe tena inawezekana baada ya hapo kuna kilichotokea ambacho mjomba wa mbunge hakisemi.
Uko sahihi.
Kwasababu anasema taa zimemruhusu, sasa zilimruhusu yeye mwenyewe??
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Umeambiwa ni wanajeshi hao?
Hapo sio jeshiniUtaratibu unatakiwa uende ukaripoti kwa mkuu wa kambi kwamba umeharasiwa na huyo jamaa hatua za kinidhamu maana uthibitishi unao hapo
Hakujaribu kukimbia wala kukaidi. Tambua mnene yule alikuwa mbele muda mrefu na hata lane nyingine pia.
Mfano nchi ipi?
Sio , huyo ni wakili tu.Huwa wanatumia nguvu nyingi sana za bila sababu wakati mwingine
Naona na wewe ni mmoja wao au unapenda kazi hii
I have been there too