Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
Kwa nini hakurekodi wakati anachomekewa?

Kwa nini uamini maneno yake wakati hujaona akiwa anachomekewa?
Hutaki tuamini maneno yake, ila unataka tuamini maneno yako kwamba dogo ndio mwenye makosa, unatumia kiungo gani kufikiri?

Nyinyi ndio mnasababisha wananchi wawachukie wanausalama. Uwezo wenu wa kufikiri uko chini kupita kiasi.

Kundi la wanausalama na mabunduki, kumkabili bwana mdogo ambae hana hata wembe. Pathetic fools!
 
9A548BF9-BA73-43C6-B30B-6030449171E2.jpeg


Waafrica bwana yaani kupiga picha au ku record of za usalama ni issue.

Hizo hapo ofisi za MI6 katika ya jiji busy road na kuna pedestrian pathway pembeni ya ukuta kabisa.

Mbele kuna mto, boat la watalii na mabasi ya watalii yakipita hapo tour guide wanawaambia kabisa ile pale ofisi ya MI6 jumlisha na daraja la train mbele.

Embu tuwe serious on what is national security.
 
Siwezi kuamini maneno ya upande mmoja bila uthibitisho!

Unachofanya wewe ni kuhukumu kesi kwa kusikiliza upande mmoja
Mbona wewe unatuambia dogo ndio mwenye makosa? Umesikiliza upande wa pili? Upande wa pili ni upi? Hebu tuletee na sisi tusikilize.


Otherwise, tutahukumu na kukemea hicho tulichokiona. Hakifai na ni uonevu!
 
Si kweli, kwa mujibu wa katiba ya Tanzania ya 1977 iliyofanyiwa marekebisho 2006 usalama wa barabarani ni wajibu wa kila Mtu isipokuwa mamlaka ya kusimamia sheria wamepewa POLISI.
Ni ibara ipi imefanyiwa hayo marekebisho mkuu
Weka hapa kwa faida ya wengi
 
Kwa nini hakurekodi wakati anachomekewa?

Kwa nini uamini maneno yake wakati hujaona akiwa anachomekewa?
Kuna sheria inalazimisha kurekodi ukichomekewa gari?

Kwanini usiamini maneno yake unataka uamini nini. Hata kama maneno yake ni uongo, ni sheria gani inasema raia yeyote asimamishe gari barabarani na kuamrisha liingie sehemu anayotaka yeye?
 
Back
Top Bottom