donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Hao ni wanausalama mkuu, JW haina combat dress kama hiiMambo kama haya ya utayakuta kwenye shithole countries!
Nchi zilizoendelea ni nadra sana kukutana na wanajeshi mtaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni wanausalama mkuu, JW haina combat dress kama hiiMambo kama haya ya utayakuta kwenye shithole countries!
Nchi zilizoendelea ni nadra sana kukutana na wanajeshi mtaani.
BastolaNi aibu tu, alafu uuyo dogo nae asingesimama angesepa zake tu
Duh! Hivi nchi hii bado kuna watu wapumbavu namna hii? Kwahiyo siku zote alikuwa akiwaonea watu nao wanakubali tu kumlipia bills ambazo haziwahusu?Kuna fala mmoja huwa anajifanya au sijui ndio security wa Taifa kweli!!!? Nilikuwa nasikia sana tabia zake za kuwa akikutaa bar unakunywa na yeye anaagiza kama uvyokunywa wewe kisha anasema utalipa wewe,.
Bahati nzuri mimi sinywi ila nikasema hasirogwe kuingia katika anga zangu za aina yoyote hile.
Siku moja nikaenda bar na rafiki yangu mmoja alikuwa ananywa zake bia mimi nikiwa nakunywa sparletar yangu mara jamaa kaja na kama kawaida yake siku hiyo akafikia kwenye point yetu. Akatusalimia akaenda counter kaagiza na yeye bia zake kama za jamaa yangu na kumwambia counter kuwa watalipa wale pale akituonesha sisi.
Baada ya sisi kumaliza yetu tukaomba bill ilipoletwa tukaona bill imekuja mara dufu, nilipooliza tukajibiwa kuwa na pombe zile pale. Mimi nikamwambia sisi hatumfahamu alipe mwenyewe, baada ya hapo jamaa si akaja akatuuliza kwa nini hatutaki kunilipia?
Nikamuuliza tukulipie wewe una tatizo gani? Nae akatuuliza kwani nyinyi hamnifahamu, na Mimi nikamuuliza "sisi unatufahamu?" Nikamwambia ondoka kabla sijakushia dhahama, wakati huo watu wametunguka wakisilizia. Naona kaondoka uku akisema "mtanijua tu"
Juzi nimekutanae barabarani nashangaa kanisalimia bro za ziku?
Nikajifanya sikumsikia.
Hapa maadili ni sifuri.Ndio wale wale kamlete hawakufanyiwa vetting ya uhakika. Wanadhani kuonyesha vitambulisho au kazi zao wataonekana mashujaa.Kila siku nasema njoo mwananyamala pale Royal wanaeka vitambulisho mezani au wakilewa pale Serengeti baa na kuna ingine mpya tunawaokotea na kukabidhi kaunta. Maadili hayapo kabisa
Ninakubaliana n wewe, TISS wa ukweli hawanaga haya mambo wala muda wa kujionyesha labda ni informer huyo ndio maana anahangaika kujulikanaHuyo TISS feki. Tunao wajua hawana tabia hizo. Kwanza ni kinyume na taratibu za idara.
Hiv unawajua wabongo vizuri kweli!? Huwa wanaomba samahan ata kama wao ndio wamekosewa ilimladi tu wajue huyo mtu ni mkubwa wa kitengo flan (kifedha au kicheo)
BREAKING NEWS!!!!Hii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.
Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?
Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.
Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.
Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.
Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.
View attachment 2182358
Kama upo kijijini ni sawaHayo ni mawazo yako.
Ndiyo maana mnadai haki wakati mnajiachia kwenye haki zenu.
TISS anahusikaje na kukusimamisha.
Jibu hoja zangu, kama una uwezo huo, achana na mimi. Nikiwa na hasira au nisiwe nazo, wewe zinakuzidishia au kupunguzia nini?Mbona unahasira hivyo kuwa mpole
I care the less.Thats rude,bordering on uncivil manner!
MUNISHI FAUSTIN STIVIN wa Katiba Mpya ndio kawa msemaji wa TISS
Wanateteana...miaka ya nyuma kuna ndugu yangu alishawahi kutapeliwa hela akitaka kwenda kambini wanamzingua mapema tu hata ofisini hafikiUtaratibu unatakiwa uende ukaripoti kwa mkuu wa kambi kwamba umeharasiwa na huyo jamaa hatua za kinidhamu maana uthibitishi unao hapo
UongoSheria inaruhusu mtu yeyote kufanya arresting!
Hata wewe unaweza kumu arrest muhalifu akifanya kosa
Hapana..vipi nikikupiga kwa kuhofia wewe unataka kuniteka?..Njoo uniarrest mimi uone kama millardayo hajaripot kitu kesho yake asubuhi..Sheria inaruhusu mtu yeyote kufanya arresting!
Hata wewe unaweza kumu arrest muhalifu akifanya kosa
Quite rightly so, but you come off as uncouth and uncivilised.I care the less.