Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
A full account of what transpired ni muhimu sana

Sometimes hawa vijana huwa ni wajuaji mno

Hakuna anayebisha in "relation to full account." However, si heri hata hii nusu (shari) imekuwapo?

Kwani hata Luger A5340, bangi, madawa ya kulevya na tuhuma za ugaidi ni ajabu kusokomezwa humo?
 
hiyo ya mbunge amesema kwa hasira tu na lazima muelewe hata ungekuwa ni wewe una umri mdogo ungesema tu pindi unapoona unaonewa
amesema hivo kwa sababu amehisi anaonewa sababu ya unyonge wake
Sawa mkuu.
ila hatujui cha zaidi kilichojiri huko nyuma tulichosikia kwenye clip ni dogo akilalamika kuchomekewa na uyo mwenye gari ya usalama.
 
Nenda Polisi Moja kwa Moja. Au ofisi yeyote ya serikali ya mtaa.
Mwanajeshi Hana haki ya kukusimamisha, Hana haki ya kuomba kitsmbulisho na una haki ya kurekodi chochote kama upo kwenye eneo la umma.
tuache UONGO watanzania tumesimamishwa Sana na mgambo mpaka wanajeshi hasa waliporudi kutoka Uganda
jua hao hao waliomsimamisha NI TISS Wana mamlaka wakati wowote magari yote barabarani wakiwa na msafara wa viongozi sembuae hiyo Passo ya dogo. Msafara wa hao jamaa haufuati taa za barabarani iwe nyekundu au kijani.
Mtu yeyote aliyevaa crown /ngao ya Bibi na bwana akikupa amri msikilize ndipo ujitetee, ukibisha utaambulia kipigo au adhabu ndipo utajua Jeshi NI Nini
 
Mambo hayo hawawafanyii watu wote.. mimi nawachapaga kama watoto hao.. tena hao wa kike ndio wanafuraigi kabsa..

Wakianzaga kunileteaga upuuzi nawaangaliaga tu hata siwasemeshagi..

Wakiyavagaa wanaombaga msamaha tu.. shenzy sana hao jamaa..
 
Mjomba wake m'bunge alikuja kumtoa ndio maana hata Video tumeiona

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Bila taarifa rasmi si rahisi kujua aliko mhanga huyu.

Ikumbukwe dogo alikuwa na mtu mwingine kwa minajili ya kuyachukua matukio.

Hajulikani aliko Yobo Ndugai sembuse dogo huyu mikononi mwa jitu lisilojulikana?
 
Ok

That’s why I asked uko ulaya, because mama uko ulaya , your perception of things differ


Mie Niko bongo
Kote Kuna sheria zinazofanana mkuu.
Sheria na haki lazima zibalance.
Tumezikataa baadhi ya haki kwa sababu ya utamaduni wetu.
Kwa mfano, tuna sheria ya kupinga ujambazi ambayo tunaifuatulia, Sasa perception hapo inahusikaje.
Anyways, yaishe.
 
tuache UONGO watanzania tumesimamishwa Sana na mgambo mpaka wanajeshi hasa waliporudi kutoka Uganda
jua hao hao waliomsimamisha NI TISS Wana mamlaka wakati wowote magari yote barabarani wakiwa na msafara wa viongozi sembuae hiyo Passo ya dogo. Msafara wa hao jamaa haufuati taa za barabarani iwe nyekundu au kijani.
Mtu yeyote aliyevaa crown /ngao ya Bibi na bwana akikupa amri msikilize ndipo ujitetee, ukibisha utaambulia kipigo au adhabu ndipo utajua Jeshi NI Nini
Hayo ni mawazo yako.
Ndiyo maana mnadai haki wakati mnajiachia kwenye haki zenu.
TISS anahusikaje na kukusimamisha.
 
Kwa hizo foleni & traffic jams za Dasalamu utakimbia speed 100 hadi wapi? Dogo ana IST, officer ana V8.

Kwa mazingira hayo, nadhani ukifanya maamuzi ya kukimbia ni kukuza tatizo.

Ila pia nahisi dogo alimess up somewhere huko nyuma... najiuliza WHY mwenzake anamwambia "awaombe msamaha"? WHY aliamua kulifuatilia hilo gari kwa kurekodi? Dogo anasema Officer ndiye mwenye makosa kwa rough driving na kumchomekea dogo, sasa WHY tena huyo Officer akamblock dogo kwa mbele na kum-detain?

Lakini whatever the situation might be, kama kweli ni purely kosa la barabarani (traffic case), kumkamata dogo na kumpeleka kituo cha Idara ni very unprofessional na upuuzi wa hali ya juu sana!

-Kaveli-
Hiv unawajua wabongo vizuri kweli!? Huwa wanaomba samahan ata kama wao ndio wamekosewa ilimladi tu wajue huyo mtu ni mkubwa wa kitengo flan (kifedha au kicheo)
 
Back
Top Bottom