Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

Hata Kama jamaa ingekuwa ni makosa yake lakini haikupaswa kuingiza gari humo alipotakiwa kuingiza gari! Kujipeleka mahali ambapo utakuwa huna utetezi wa aina yoyote ndio kosa la kiufundi alilofanya mshikaji.. kwani tunafahamu hulka za hao jamaa raia huwa wanatuchukulia kama watu tusio na haki na wenyewe ndio wenye mamlaka ya kufanya uwezavyo!.

Nini kama wangembambikia kesi nzito nayeye ameshajitia dosari ya kuingia chini ya utawala wao..?
Mwanaume upo kwenye mazingira yako unategemeaje nguvu ya mtu mwengine ambae yupo mbali ambapo mpaka aje afike chamoto utakuwa ushakiona! Ati mjomba wangu mbunge!..😂

Aliposimamishwa hiyo ndio ilikuwa nafasi yake ya kutoroka na sio kukubali kuingia kwenye mdomo wa mamba,ambae nae barabarani sio mahala pake!

Wito wangu.. hakuna aliye juu ya sheria hivyo watu wa usalama tumieni mamlaka yenu pale panapostahili, ubabe na majivuno sio kitu chenye afya pale ambapo hapastahili...

Mamlaka zinazohusika zinapaswa ziingilie kati na ziwawajibishe kila mmoja kwa haki ili kudhihirisha hakuna aliejuu ya sheria,pia kila mtu lazima awe na utambuzi binafsi katika nafasi aliyonayo vitu vyengine hivi vidogovidogo vitawavua nguo muonekane si lolote si chochote ktk nafasi mlizonazo.
 
Hukuona mitutu ya bunduki?? Wanakushuti na fili linaandikwa ulikuwa unatorosha mihadarati. Case closed.
Unafikiri ule mtutu huwa unalengwa tu kama manati..? Mihadarati walihakikisha kuwa imo mule..? Mkuu ni hatari zaidi kujiingiza kwa hao jamaa ktk namna hiyo na hiyo video ndio Imemsaidia naona huwajui hao jamaa.😂
 
View attachment 2184659

Hata Kama jamaa ingekuwa ni makosa yake lakini haikupaswa kuingiza gari humo alipotakiwa kuingiza gari!,kujipeleka mahali ambapo utakuwa huna utetezi wa aina yoyote ndio kosa la kiufundi alilofanya mshikaji.. kwani tunafahamu hulka za hao jamaa raia huwa wanatuchukulia kama watu tusio na haki na wenyewe ndio wenye mamlaka ya kufanya uwezavyo!.

Nini kama wangembambikia kesi nzito nayeye ameshajitia dosari ya kuingia chini ya utawala wao..?
Mwanaume upo kwenye mazingira yako unategemeaje nguvu ya mtu mwengine ambae yupo mbali ambapo mpaka aje afike chamoto utakuwa ushakiona! Ati mjomba wangu mbunge!..😂

Aliposimamishwa hiyo ndio ilikuwa nafasi yake ya kutoroka na sio kukubali kuingia kwenye mdomo wa mamba,ambae nae barabarani sio mahala pake!

Wito wangu.. hakuna aliejuu ya sheria hivyo watu wa usalama tumieni mamlaka yenu pale panapostahili,ubabe na majivuno sio kitu chenye afya pale ambapo hapastahili...

Mamlaka zinazohusika zinapaswa ziingilie kati na ziwawajibishe kila mmoja kwa haki ili kudhihirisha hakuna aliejuu ya sheria,pia kila mtu lazima awe na utambuzi binafsi katika nafasi aliyonayo vitu vyengine hivi vidogovidogo vitawavua nguo muonekane si lolote si chochote ktk nafasi mlizonazo.

Kumwita yule dogo, jamaa itakuwa kutomtendea haki.

Yote unayoyasema yakielekezwa kwa mtu mzima ni sahihi.

Kumbuka dogo aliendelea na safari yake yote kwenye lane ile ile bila kujaribu kujihami kwa namna yoyote.

Dogo alikuwa muumini mwaminifu wa haki akidhani kwa kuwa kwa vile makosa si yake haki ilikuwa kwake.

Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza!
 
Wale walikuwa kwenye msafara that's why mpaka magobore uliyaona waziwazi.
Necessity inampa haki mtu yeyote ya kuvunja sheria.
Tuwe watii hata tunapoona haki zetu zinapindishwa
Mkuu utii upi unahitajika hapo..? Labda kama wewe ni mgeni wa hao jamaa hivi utii upi unaouzungumzia ikiwa wote mpo ktk mamlaka ya barabara halafu mwenzio anakupeleka chocho yake nawe unakubali ukitiwa vitasa humo..?😂
 
Kumwita yule dogo, jamaa itakuwa kutomtendea haki.

Yote unayoyasema yakielekezwa kwa mtu mzima ni sahihi.

Kumbuka dogo aliendelea na safari yake yote kwenye lane ile ile bila kujaribu kujihami kwa namna yoyote.

Dogo alikuwa muumini mwaminifu wa haki akidhani kwa kuwa kwa vile makosa si yake haki ilikuwa kwake.

Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza!
Na ndipo hapo ninapokuja na huu uzi kuwa kosa la jamaa ni kukubali kuingiza gari mule kwenye mamlaka za watu wengine maana wanaweza kukufanya lolote na hata baadae ukaonekana wewe ndio mwenye makosa!
 
Back
Top Bottom