- Thread starter
- #641
Mwanajeshi ni mtu mtu wa kawaida saaaaaaana tena saaaaaaaana....huwa najiuliza kwanini mnawapa vyeo sana hawa mashemeji zangu
Kuwapa vyeo ni kutaka wawajibishwe wanapokiuka sheria wazi wazi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanajeshi ni mtu mtu wa kawaida saaaaaaana tena saaaaaaaana....huwa najiuliza kwanini mnawapa vyeo sana hawa mashemeji zangu
A full account of what transpired ni muhimu sana
Sometimes hawa vijana huwa ni wajuaji mno
Sawa mkuu.hiyo ya mbunge amesema kwa hasira tu na lazima muelewe hata ungekuwa ni wewe una umri mdogo ungesema tu pindi unapoona unaonewa
amesema hivo kwa sababu amehisi anaonewa sababu ya unyonge wake
tuache UONGO watanzania tumesimamishwa Sana na mgambo mpaka wanajeshi hasa waliporudi kutoka UgandaNenda Polisi Moja kwa Moja. Au ofisi yeyote ya serikali ya mtaa.
Mwanajeshi Hana haki ya kukusimamisha, Hana haki ya kuomba kitsmbulisho na una haki ya kurekodi chochote kama upo kwenye eneo la umma.
tafasiri yako ndo shida inapoanzia.Achaneni na faiths za watu
Huu uzi uko very direct kwenye issues
Mngeacha ziwe primary focus ya thread
Sawatafasiri yako ndo shida inapoanzia.
Binafsi hapo solutions ilikuwa kumgonga tu afie mbele kmmkeNdio. Mtu kavaa kiraia hujui ni nani, unasimamaje? Kama ni jambazi?
Mjomba wake m'bunge alikuja kumtoa ndio maana hata Video tumeionaSiti ya mwishoni huku hatujajua kilichoendelea aseee mtupashe habari kilichojiri baadae
Mjomba wake m'bunge alikuja kumtoa ndio maana hata Video tumeiona
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa hakupaswa kutii amri batiliPale angezima gari then akakomaa mpaka trafiki aje.
Mbona unahasira hivyo kuwa mpoleAchana na mimi, jibu hoja kama una uwezo huo.
Kote Kuna sheria zinazofanana mkuu.Ok
That’s why I asked uko ulaya, because mama uko ulaya , your perception of things differ
Mie Niko bongo
Hayo ni mawazo yako.tuache UONGO watanzania tumesimamishwa Sana na mgambo mpaka wanajeshi hasa waliporudi kutoka Uganda
jua hao hao waliomsimamisha NI TISS Wana mamlaka wakati wowote magari yote barabarani wakiwa na msafara wa viongozi sembuae hiyo Passo ya dogo. Msafara wa hao jamaa haufuati taa za barabarani iwe nyekundu au kijani.
Mtu yeyote aliyevaa crown /ngao ya Bibi na bwana akikupa amri msikilize ndipo ujitetee, ukibisha utaambulia kipigo au adhabu ndipo utajua Jeshi NI Nini
Hiv unawajua wabongo vizuri kweli!? Huwa wanaomba samahan ata kama wao ndio wamekosewa ilimladi tu wajue huyo mtu ni mkubwa wa kitengo flan (kifedha au kicheo)Kwa hizo foleni & traffic jams za Dasalamu utakimbia speed 100 hadi wapi? Dogo ana IST, officer ana V8.
Kwa mazingira hayo, nadhani ukifanya maamuzi ya kukimbia ni kukuza tatizo.
Ila pia nahisi dogo alimess up somewhere huko nyuma... najiuliza WHY mwenzake anamwambia "awaombe msamaha"? WHY aliamua kulifuatilia hilo gari kwa kurekodi? Dogo anasema Officer ndiye mwenye makosa kwa rough driving na kumchomekea dogo, sasa WHY tena huyo Officer akamblock dogo kwa mbele na kum-detain?
Lakini whatever the situation might be, kama kweli ni purely kosa la barabarani (traffic case), kumkamata dogo na kumpeleka kituo cha Idara ni very unprofessional na upuuzi wa hali ya juu sana!
-Kaveli-
Huyu dereva anko ake Mbunge,bila shaka atakua alifanyiwa ukatili na hao watu.Kijana gani
Huku kwetu sifa kuu ya Askari wa Jeshi ni kutetemekewa na RaiaMambo kama haya ya utayakuta kwenye shithole countries!
Nchi zilizoendelea ni nadra sana kukutana na wanajeshi mtaani.