Duh! Hivi nchi hii bado kuna watu wapumbavu namna hii? Kwahiyo siku zote alikuwa akiwaonea watu nao wanakubali tu kumlipia bills ambazo haziwahusu?

Huyo jamaa anaweza kuwa tapeli siyo Usalama wa Taifa per see, how comes? Hizi ndio kazi zao kweli?

Kama alikuwa ameshawafanyia hivi watu wengi kwanini alikuwa hachukuliwi hatua? Watu wengi wananyanyasika kwa kutokujua sheria na haki zao.

Ulichokifanya ni kizuri sidhani kama aliendelea kuwaonea watu.Inasikitisha sana.
 
Kila siku nasema njoo mwananyamala pale Royal wanaeka vitambulisho mezani au wakilewa pale Serengeti baa na kuna ingine mpya tunawaokotea na kukabidhi kaunta. Maadili hayapo kabisa
Hapa maadili ni sifuri.Ndio wale wale kamlete hawakufanyiwa vetting ya uhakika. Wanadhani kuonyesha vitambulisho au kazi zao wataonekana mashujaa.
 
Huyo TISS feki. Tunao wajua hawana tabia hizo. Kwanza ni kinyume na taratibu za idara.
Ninakubaliana n wewe, TISS wa ukweli hawanaga haya mambo wala muda wa kujionyesha labda ni informer huyo ndio maana anahangaika kujulikana
 
Wote wamekutana washamba na huyo aliyerekodi naye mara anadai mjombawake sijui mbunge sasa ubunge ndio nini, hapo wote mazuzu , nchi inahitaji overhall kubwa sana katika kila sekta.
 
Hiv unawajua wabongo vizuri kweli!? Huwa wanaomba samahan ata kama wao ndio wamekosewa ilimladi tu wajue huyo mtu ni mkubwa wa kitengo flan (kifedha au kicheo)

Nimekuelewa chief.

-Kaveli-
 
BREAKING NEWS!!!!
 
Hayo ni mawazo yako.
Ndiyo maana mnadai haki wakati mnajiachia kwenye haki zenu.
TISS anahusikaje na kukusimamisha.
Kama upo kijijini ni sawa
Lkn ktk misafara yao ukiingilia ukadai taa inakuruhusu watakuchekea? Raia umeshapewa push up, umemwagiwa maji umegalagazwa kwenye rope unaachiwa unajisifu!!!
Hata km wamekosea kinidhamu Raia hujulishwi ndio maana Polisi akiua unaambiwa marehemu jambazi alitoroka.
Kuna ugumu gani kutii kuokoa muda wako?
 
Ila haya mambo ni ya ovyo sana ivi umevaa kiraia unashuka kwenye gari una attempt Dentation ivi what if have a gun in my car nikatoa na kukuona wewe ni threat then nikushoot kutakuwa na Malalamiko, Regardless nipo kwenye Geti gani kwani hawa watu hawajui taratibu mpaka wafanye ivo!!?
 
Utaratibu unatakiwa uende ukaripoti kwa mkuu wa kambi kwamba umeharasiwa na huyo jamaa hatua za kinidhamu maana uthibitishi unao hapo
Wanateteana...miaka ya nyuma kuna ndugu yangu alishawahi kutapeliwa hela akitaka kwenda kambini wanamzingua mapema tu hata ofisini hafiki
 
Sheria inaruhusu mtu yeyote kufanya arresting!

Hata wewe unaweza kumu arrest muhalifu akifanya kosa
Hapana..vipi nikikupiga kwa kuhofia wewe unataka kuniteka?..Njoo uniarrest mimi uone kama millardayo hajaripot kitu kesho yake asubuhi..

Kwa akili ya kawaida tu Raia wanaenda kutoa taarifa polisi..polisi ndo wanakuja kukuarrest....

Mtu umekula huko umeshiba alafu eti uje uniarrest[emoji23][emoji23][emoji23]...ntakumwaga ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…