Mishikaki hakum snitch.

Alishauri kupisha shari ikibidi hata kuomba msamaha kwa kosa lisilokuwapo.

Yumkini ndiye aliyepiga na kusambaza clip hii.
Huyo dogo anaonekana anakiburi!

It’s obvious yeye ndo alikuwa na makosa
 
Tatizo jamaa wengi wao ni washamba halafu waoga angalia hapo wamejazana kibao na bunduki juu kukabiliana na mtu mmoja ambaye labda hana hata kiwembe.
Tuombe Mungu sana tusivamiwe na adui tukiamini hao jamaa kazi yao kubwa ni kuonea raia tu
 
Kwani hapo wamefanya kosa gani?
 
Kwa wakati huu ambapo hakuna katiba mpya,jamaa alishindwa nini kuendelea na safari,anasimamishwa naye anasimama,hao ni trafiki au aliogopa magwanda?
Nyie wananchi punguzeni kuwa-overate hao jamaa ambao ni iron boys and girls.
Hivi trafiki tuu ndio wakikusimamisha barabarani unalazimika kutii!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Vijana wa makumbusho wamekosea sana, kulikuwa kuna umuhimu gani wa kumpeleka hapo makumbusho basement.

Hawa vijana wakivaa hizo bakabaka wanakuwa kama vichaa sana, wamekosea na itawagharimu mno.
 
Huyo dogo anaonekana anakiburi!

It’s obvious yeye ndo alikuwa na makosa

Hamjambo knyama pale?

Dogo angekuwa na makosa au hata kibri angekuwa kajaribu kutoroka kwa kumwaga mbio.

Kuna michepuko mingapi aliyovuka hadi getini kwenu ambayo angeweza kuchukua?

Hata gari la wajuba liliposimama si kuwa alikuwa blocked.

Alisimama na kujaribu kujieleza bila kebehi.

Kumbuka "Mwanangu" ndiyo lugha za staha kwa madogo wanaume wa Dar wa kesho.
 
Vijana wa makumbusho wamekosea sana, kulikuwa kuna umuhimu gani wa kumpeleka hapo makumbusho basement.

Hawa vijana wakivaa hizo bakabaka wanakuwa kama vichaa sana, wamekosea na itawagharimu mno.
Wamekosea nini?
 
Ushamba huo majengo ya serikali ukienda Google map kila kitu kiko wazi
Ukiangalia vizuri hiyo video utaona kabisa video imepigwa ndani inaonyesha mlinzi yuko wapi, kuna walinzi wangapi getini vitu ambavyo havionekani Google maps.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…